IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,747
- 7,110
Barcelona vs Arsenal fainali mzeiyaaa.Dada zetu wanafanya mauaji Lyon
Mademu wetu wanacheza vizuri na hawajapaki basi. Nafikiri tutashinda hii.Wamechomoa moja
Hivi ni nani huwa anawafananisha?? Kwa mafanikio gani Arteta aliyonayo mpk afananishwe? Au wanafananishwa kwa creteria gani? Mana mpk sasa Saka na Arteta wote ni mafailures.
Dah badala ushangilie ushindi wa Liverpool unahangaika na mipira ya kina mama?Oya wazee mnaangalia lakini hichi kichapo tunachomshushia Lyon huku?
Mama wa michuano Champions league ya wanawake?
mpaka sasaa dk 72
Lyon(W) 0-4 Arsenal(W)
Walivyotufunga mechi ya kwanza nikajua leo watatukaanga vizuri, kumbe nilikuwa nawakosea wachezaji wetu kwa kutokuwa na imani nao.
Na hii sio mara ya kwanza kuwapa kichapo cha mbwa mwizi hapo hapo kwao.
ACha tujiandae na mbabe wa michuano kwa sasa barcelona ambaye ametoka kumpa kichapo cha mbwa mwizi chelsea pale pale darajani.
Mwaka huu fainali ZTE mbili ni Arsenal vs Barcelona....kwa mademu na kwa kina Kai mikazo🤠🤠🤠.....Barcelona watakutana na kitu kizito sana kwakwli....nimeangalia mechi Yao ya jana tukikutana nao wale tutawadunda Dunia ikae inashangaza🤠🤠🤠Montemurro alijenga timu kali yenye akina Miedema, Van De Donk, Evans, nk. halafu akaishia zake na kutuacha tukisota na Eidevall jangwani. Sasa bahati nzuri tumemata Slegers, acha tu tumpe adhabu ya kichapo na Lyon yake hapo hapo kwake na kuingia fainali.
Yaani full buradani. Tumezingua sana kwenye ligi na kuonewa sana na kudhulumiwa sana juu. Huu mwaka unaonekana tumerudi nyuma maana hata pointi 70 tu mpaka sasa hatujafikia. Edu alitutema hata nusu msimu hatujafika na kutuharibia ratiba.Mwaka huu fainali ZTE mbili ni Arsenal vs Barcelona....kwa mademu na kwa kina Kai mikazo🤠🤠🤠.....Barcelona watakutana na kitu kizito sana kwakwli....nimeangalia mechi Yao ya jana tukikutana nao wale tutawadunda Dunia ikae inashangaza🤠🤠🤠
7 si nyingi. Soon tutakuja kuwapita.😁 115 fc watashusha mtuView attachment 3317818
YOur fellow fools opted out hawajasema kituHivi ni nani huwa anawafananisha?? Kwa mafanikio gani Arteta aliyonayo mpk afananishwe? Au wanafananishwa kwa creteria gani? Mana mpk sasa Saka na Arteta wote ni mafailures.
Wana washaanza kuona genge la arteta miyeyusho, sasahivi wamehamia kwa kina dada.Kwa Arsenyau Tetea ana mafanikio makubwa sana, miaka 12 aliyokuwepo hapo Sober house ana makombe mawili ya FA, hilo ni jambo kubwa sana kwa timu kubwa kama Arsenyo, ndio maana mashabiki wote wa Asno hua wanajivunia sana mafanikio makubwa ya kocha wao.
Tetea mtu wa maana kabisa, apewe life contract na 10% ya umiliki wa timu.