hiyo wisdom ya kichina nimeikubali mkuuOnline huko fans are mad kwakua Loserfools fans wanapost kutudhihaki kwamba tutawafanyia ile parade kumkaribisha bingwa.
NIliwahi kufanya kazi na wachina nilikua ni Team Leader wa kwanza kati ya waliopo. Nilikua na success kwenye kitengo changu kubwa tu, kisha akaja TL mpya in a month akawa amenizidi performance.
Ile ofisi ilikua na utaratibu wa kuchukua last performers na kuwataka watengeneze action plan kuonyesha wataimprove vipi, waonyeshe challenges na weakness yao.
Siku moja kabla ya hawa watu wa mwisho kufanya hivi bosi (Mchina) akaniita. Akaniambia anataka mimi ndiyo niandae hizo zote na anaamua kwamba kwa mwezi huo mimi ndiye poor performer. Akaniambia kwao China wana hili neno "wò xīn cháng dǎn" (nalikumbuka hadi leo) linalomaanisha mtu anatakiwa kudhalilishwa ili afanikiwe kwahiyo anaamini mimi kua presented kama poor performer considering I have always been successful na ni TL wa mwanzo kabisa itanifanya nifocus zaidi.
Notice kwamba aliyenizidi aliniacha points nne tu but jamaa akasema nastahili hii humiliation.
Am hereby saying Arsenal tunastahili hiyo humiliation, PGMOL is corrupt? We have injuries?
So what?
Wakati hayo yanatokea what did we do?
Tulisajili dirisha lilipofunguliwa January?
Tuliscore zaidi ili hata PGMOL wakose pa kutucorner?
Tulipunguza sideway passes na back passes na kufocus kwenda mbele zaidi?
Tuliacha kumuweka Partey RB?
Waweza uliza mbona Loserfools ilibidi wagome kuchezeshwa na certain referee?
Bitch fvck you.
The question is "WHAT DID WE DO?" Siyo "What did Loserfools do?"
So, yeah. Tunastahili hii humiliation. Na next time tukirudia upuuzi huu huu acha tuendelee kuwafanyia parade wenzetu mpaka tutakapoona it's enough we have to take action.
By the way, after the presentation I turned around the whole performance.
mbona mapema sana mkuu 🤣
Acha tumchemshane nyongo tumbona mapema sana mkuu [emoji1787]
safi mkuu, tunasubiri mbungi kwa ushabiki mkubwa,, kuweni makini sana na dembele alikasirika sana baada ya balaa la aston villa 🤣Acha tumchemshane nyongo tu
Achana nao hao Livakuku fans na fikra zao potofu, eti ni aibu kuwapa guard of honour...Online huko fans are mad kwakua Loserfools fans wanapost kutudhihaki kwamba tutawafanyia ile parade kumkaribisha bingwa.
NIliwahi kufanya kazi na wachina nilikua ni Team Leader wa kwanza kati ya waliopo. Nilikua na success kwenye kitengo changu kubwa tu, kisha akaja TL mpya in a month akawa amenizidi performance.
Ile ofisi ilikua na utaratibu wa kuchukua last performers na kuwataka watengeneze action plan kuonyesha wataimprove vipi, waonyeshe challenges na weakness yao.
Siku moja kabla ya hawa watu wa mwisho kufanya hivi bosi (Mchina) akaniita. Akaniambia anataka mimi ndiyo niandae hizo zote na anaamua kwamba kwa mwezi huo mimi ndiye poor performer. Akaniambia kwao China wana hili neno "wò xīn cháng dǎn" (nalikumbuka hadi leo) linalomaanisha mtu anatakiwa kudhalilishwa ili afanikiwe kwahiyo anaamini mimi kua presented kama poor performer considering I have always been successful na ni TL wa mwanzo kabisa itanifanya nifocus zaidi.
Notice kwamba aliyenizidi aliniacha points nne tu but jamaa akasema nastahili hii humiliation.
Am hereby saying Arsenal tunastahili hiyo humiliation, PGMOL is corrupt? We have injuries?
So what?
Wakati hayo yanatokea what did we do?
Tulisajili dirisha lilipofunguliwa January?
Tuliscore zaidi ili hata PGMOL wakose pa kutucorner?
Tulipunguza sideway passes na back passes na kufocus kwenda mbele zaidi?
Tuliacha kumuweka Partey RB?
Waweza uliza mbona Loserfools ilibidi wagome kuchezeshwa na certain referee?
Bitch fvck you.
The question is "WHAT DID WE DO?" Siyo "What did Loserfools do?"
So, yeah. Tunastahili hii humiliation. Na next time tukirudia upuuzi huu huu acha tuendelee kuwafanyia parade wenzetu mpaka tutakapoona it's enough we have to take action.
By the way, after the presentation I turned around the whole performance.
Soko la ajira la bongo ni moto.Achana nao hao Livakuku fans na fikra zao potofu, eti ni aibu kuwapa guard of honour...
Hii ni sportsmanship ya kawaida tu. Tumepambania kombe timu 20, 1 imeshinda so inapewa heshima yake na ikiwa timu yetu ndiyo imejikuta inacheza nao wakati wametangazwa kuwa mabingwa, siyo kujidhalilisha kuwapigia makofi bali ni kuwapongeza tu kirafiki kama washindani na marafiki zetu katika soka.
Sisi sasa tukomae pia tupambane tupate heshima hiyo siku moja.
Nadhani mimi nisingedumu kwenye kampuni ya hao wachina 😀 maana naona kama wana mitizamo ya kiwaki kama wanaona kumwambia mfanyakazi afanye presentation ya kueleza namna ya kuberesha ufanisi wake kama 'humiliation' na wanaifanya kwa lengo hilo ili utendaji uboreke.
soka limekua lakiwaki kinomaHizi stats ndiyo zinatuletea wachezaji mid kwa bei ya juu. Utasikia jamaa mkali ana GA ya 17, assists 11 na goli 6.
Halafu rating ya msimu ni 7.6 kwa 10.
Yaani hayo magoli 6 ya msimu yamempa hiyo rate na kwenu ataletwa kwa 60M. Kipindi naanza kushabikia mpira kulikua hakuna hizi mambo za GA ilikua ni ST kazi yake kufunga ana magoli machache ataitwa flop mmemalizana haina kuanza kutafuta cha kuhalalisha.
Siku hizi utasikia ila ana runs nzuri sana timu ikiwa haina mpira. Mara anasaidia na mid kukaba.
Ujio wa hizi stats unafanya hata fanbase igawanyike. Kwakua mchezaji anaweza kua mzururaji tu ila utashangaa mtu anakwambia huyu anacover eneo kubwa na ana GA ya 18.
Nakuelewa mkuu.Soko la ajira la bongo ni moto.
Unajikuta unastick sehemu ambayo ukimwambia mtu mwingine anashangaa uliwezaje
Akina Kai hao.Hizi stats ndiyo zinatuletea wachezaji mid kwa bei ya juu. Utasikia jamaa mkali ana GA ya 17, assists 11 na goli 6.
Halafu rating ya msimu ni 7.6 kwa 10.
Yaani hayo magoli 6 ya msimu yamempa hiyo rate na kwenu ataletwa kwa 60M. Kipindi naanza kushabikia mpira kulikua hakuna hizi mambo za GA ilikua ni ST kazi yake kufunga ana magoli machache ataitwa flop mmemalizana haina kuanza kutafuta cha kuhalalisha.
Siku hizi utasikia ila ana runs nzuri sana timu ikiwa haina mpira. Mara anasaidia na mid kukaba.
Ujio wa hizi stats unafanya hata fanbase igawanyike. Kwakua mchezaji anaweza kua mzururaji tu ila utashangaa mtu anakwambia huyu anacover eneo kubwa na ana GA ya 18.
Good.Online huko fans are mad kwakua Loserfools fans wanapost kutudhihaki kwamba tutawafanyia ile parade kumkaribisha bingwa.
NIliwahi kufanya kazi na wachina nilikua ni Team Leader wa kwanza kati ya waliopo. Nilikua na success kwenye kitengo changu kubwa tu, kisha akaja TL mpya in a month akawa amenizidi performance.
Ile ofisi ilikua na utaratibu wa kuchukua last performers na kuwataka watengeneze action plan kuonyesha wataimprove vipi, waonyeshe challenges na weakness yao.
Siku moja kabla ya hawa watu wa mwisho kufanya hivi bosi (Mchina) akaniita. Akaniambia anataka mimi ndiyo niandae hizo zote na anaamua kwamba kwa mwezi huo mimi ndiye poor performer. Akaniambia kwao China wana hili neno "wò xīn cháng dǎn" (nalikumbuka hadi leo) linalomaanisha mtu anatakiwa kudhalilishwa ili afanikiwe kwahiyo anaamini mimi kua presented kama poor performer considering I have always been successful na ni TL wa mwanzo kabisa itanifanya nifocus zaidi.
Notice kwamba aliyenizidi aliniacha points nne tu but jamaa akasema nastahili hii humiliation.
Am hereby saying Arsenal tunastahili hiyo humiliation, PGMOL is corrupt? We have injuries?
So what?
Wakati hayo yanatokea what did we do?
Tulisajili dirisha lilipofunguliwa January?
Tuliscore zaidi ili hata PGMOL wakose pa kutucorner?
Tulipunguza sideway passes na back passes na kufocus kwenda mbele zaidi?
Tuliacha kumuweka Partey RB?
Waweza uliza mbona Loserfools ilibidi wagome kuchezeshwa na certain referee?
Bitch fvck you.
The question is "WHAT DID WE DO?" Siyo "What did Loserfools do?"
So, yeah. Tunastahili hii humiliation. Na next time tukirudia upuuzi huu huu acha tuendelee kuwafanyia parade wenzetu mpaka tutakapoona it's enough we have to take action.
By the way, after the presentation I turned around the whole performance.
Online huko fans are mad kwakua Loserfools fans wanapost kutudhihaki kwamba tutawafanyia ile parade kumkaribisha bingwa.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Historia pia inaonyesha Arsenyau haijawahi kushinda hilo kombe la Uefa tokea limeanzishwa.Historia inaonyesha PSG ajawai kumfunga kabisa arsenal ndani ya dk 90. Tangu 1994
Real madrid nae ilikuwa hivihivi.
#UEFA
View attachment 3315245
NEWCASTLE asiwepo? Au Chelsea asiwepo. Kiushindani hapo naona ni bora Chelsea asiwepo.
Kumbe mpaka Carabao wana miaka mingi hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Historia pia inaonyesha Arsenyau haijawahi kushinda hilo kombe la Uefa tokea limeanzishwa.
Haya ndio mambo ya historia sasa kama kweli wewe ni mfuasi mzuri wa kujudge mambo kwa misingi ya historia. View attachment 3316485
"Siyo kujidhalilisha kuwapigia makofi bali ni kuwapongeza tu kirafiki kama washindani na marafiki zetu katika soka."Achana nao hao Livakuku fans na fikra zao potofu, eti ni aibu kuwapa guard of honour...