Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Trossard scores
Mna bahati KENGE nyie...MATETA kawaokoa, Liverpool alitaka achukue ubingwa mkikutana nae lakini MATETA kawaokoa atachukua kabla hamjakutana.
Kitu pekee mtakachofanywa kwa Liberpool ni kujipanga mstari kuwapigia makofi wakipita katikati yenu wakiingia uwanjani kwa kuwa watakuwa tayati mabingwa.
 
Hata kama tukishinda haitugei advantage lakini hii ni performance display ya kifala sijawahi kuona.

Huyu Saliba anafanya mistake eneo lile lile. Halafu timu nzima imeparalyze haijui inaendaje mbele.

Wengi sana wanatakiwa kuondoka hapo
 
Huna akili mtoto wa kambo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumuona humu Masingeli kabla ya mechi akiwadanganya wenzake huwa nafarijika sana, sawa tu na vile wanavyofarijikaga mashabiki wa Arsenyau pale wanapoonaga predictions za allypipi kwenye lile jukwaa la mabingwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chawa katika ubora wake wa false hope, ila mkorea hizi sio akili zako, itakua Masingeli amekuandikia halafu kakwambia upost.
Halafu hapo we itaje tu Liverpool moja kwa moja, achana na kujifichia kwenye timu ya England ili kujilisha matumaini hewa kua kifo cha Papa ndio kafara ya Arsenyau kubeba Uefa msimu huu.
Hii issue ya kifo cha Papa hua inakuja na special offer kwa Liverpool, na msimu huu imeenda kwa Liverpool kubeba Epl, nyie kima hamhusiki kwa lolote na huu msiba wa dunia, acheni kujipa kipaumbele katika mambo yasiyowahusu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Boli tulilopiga jana lilikuwa siyo la kutaka kushinda bali la kutotaka kufungwa na bahati mbaya kidogo kosa la beki wetu likatugharimu. Ila kiukweli ile ilikuwa tufungwe tu.
 
Vyanzo mbali mbali plus super computer wanaipa arsenal asilimia kubwa ya kubeba UEFA
Liverpunda acha achukue hicho ki-EPL, sisi tunalibeba li-UEFA

NB
Bilbao anawapiga home and away
 
Online huko fans are mad kwakua Loserfools fans wanapost kutudhihaki kwamba tutawafanyia ile parade kumkaribisha bingwa.

NIliwahi kufanya kazi na wachina nilikua ni Team Leader wa kwanza kati ya waliopo. Nilikua na success kwenye kitengo changu kubwa tu, kisha akaja TL mpya in a month akawa amenizidi performance.

Ile ofisi ilikua na utaratibu wa kuchukua last performers na kuwataka watengeneze action plan kuonyesha wataimprove vipi, waonyeshe challenges na weakness yao.

Siku moja kabla ya hawa watu wa mwisho kufanya hivi bosi (Mchina) akaniita. Akaniambia anataka mimi ndiyo niandae hizo zote na anaamua kwamba kwa mwezi huo mimi ndiye poor performer. Akaniambia kwao China wana hili neno "wò xīn cháng dǎn" (nalikumbuka hadi leo) linalomaanisha mtu anatakiwa kudhalilishwa ili afanikiwe kwahiyo anaamini mimi kua presented kama poor performer considering I have always been successful na ni TL wa mwanzo kabisa itanifanya nifocus zaidi.

Notice kwamba aliyenizidi aliniacha points nne tu but jamaa akasema nastahili hii humiliation.

Am hereby saying Arsenal tunastahili hiyo humiliation, PGMOL is corrupt? We have injuries?

So what?

Wakati hayo yanatokea what did we do?

Tulisajili dirisha lilipofunguliwa January?

Tuliscore zaidi ili hata PGMOL wakose pa kutucorner?

Tulipunguza sideway passes na back passes na kufocus kwenda mbele zaidi?

Tuliacha kumuweka Partey RB?

Waweza uliza mbona Loserfools ilibidi wagome kuchezeshwa na certain referee?

Bitch fvck you.

The question is "WHAT DID WE DO?" Siyo "What did Loserfools do?"

So, yeah. Tunastahili hii humiliation. Na next time tukirudia upuuzi huu huu acha tuendelee kuwafanyia parade wenzetu mpaka tutakapoona it's enough we have to take action.

By the way, after the presentation I turned around the whole performance.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…