Hahahaha. Ni mtoto pale Arsenal ambaye tangu aje nikawa nasema 'huyu ni pisi kali ila simuoni kama mchezaji kwa jinsi alivyo na bonge la shape', tofauti na mrembo kama Lia WΓ€lti ambaye ni mrembo ila ana mwili wa kisoka bila kuwa kama bouncer.Hahaha, una mmind sana? Ngoja nikwambie mtoto mzuri alipo, kuna namba 2 wa Manchester United anaitwa Gabrielle George, ana undugu na Lingard. That girl is cool.
Douglas Luiz alikuwa anaenjoy sana. Sijui kama bado wako pamoja. Mtoto mzuri halafu ni miongoni mwa wachezaji wachache wanaopenda wanaume.Unamjua Alisha Lehman?
Ni bisexual huyu π π kuna muda alitoka na player wa PSG women jina limenitoka.Douglas Luiz alikuwa anaenjoy sana. Sijui kama bado wako pamoja. Mtoto mzuri halafu ni miongoni mwa wachezaji wachache wanaopenda wanaume.
Changamoto ni kwamba Williams anaamini anatakiwa kua starter. Umri wa Martinelli na WC inakaribia hawezi ridhika kua sub.Kolo Muani ni mzuri. Ana nguvu na kasi na akili. Kama tutaweza kumsaidia arudishe confidence, kweli atatufaa. Nico Williams kwa kidogo nilivyomuaona nafikiri kwenye attack na take-ons yuko vizuri zaidi ya Martinelli ila kwa defensive contributions na general work rate, sidhani kama anamfikia. Ndiyo maana ningependa tuwe nao wote wawili wapeane changamoto viwango vyao wote vipande.
Brazil watakuwa wameweza kuqualify kweli? Niko tayari kumpoteza Trossard kwa sababu ya umri wake, ila tunahitaji wingers wawili wa kushoto wachangamfu.Changamoto ni kwamba Williams anaamini anatakiwa kua starter. Umri wa Martinelli na WC inakaribia hawezi ridhika kua sub.
Trossard pia anaondoka hata hivyo, sasa ukishakua na winger anayekupa magoli constant kumuweka benchi ni ngumu. So yeyote Martinelli au Nico akiwa scorer au assistant mzuri hawezi tena kulamba benchi mpaka mmoja ataomba kuondokaBrazil watakuwa wameweza kuqualify kweli? Niko tayari kumpoteza Trossard kwa sababu ya umri wake, ila tunahitaji wingers wawili wa kushoto wachangamfu.
Shida kote kote.Trossard pia anaondoka hata hivyo, sasa ukishakua na winger anayekupa magoli constant kumuweka benchi ni ngumu. So yeyote Martinelli au Nico akiwa scorer au assistant mzuri hawezi tena kulamba benchi mpaka mmoja ataomba kuondoka
Nyumbu kawekwa.Shida kote kote.
Ni raha iliyoje aisee πππNyumbu kawekwa.
Wajikaze msimu ujaoNi raha iliyoje aisee πππ
Msimu ujao ni mwingine. Kwa sasa acha tu wapigwe mpaka wawe hoi bin taaban kabisa.Wajikaze msimu ujao
Daah. Basi kwa Lehman wanaume tuna nafasi πππ. Na pale Brighton kuna Aisha Masaka, mbongo, mrembo. Sijui kama wahuni wa kike watakuwa wamemuacha salama.Ni bisexual huyu π π kuna muda alitoka na player wa PSG women jina limenitoka.
Ana tako laini balaa
Hahaha sasa si hadi na yeye awe anaprefer hizo ishu kama hana preference hiyo inabidi uzame dm mzee.Daah. Basi kwa Lehman wanaume tuna nafasi πππ. Na pale Brighton kuna Aisha Masaka, bongo, mrembo, sijui kama wahuni wa kike watakuwa wamemuacha salama.
πππ nasikia mtoto wa Singida yule. Sidhani kama atawapa nafasi jinsia yake wamuharibie maisha πππ. Anyway, niliangalia game ya wanawake wetu na Brighton ambayo tuliwapiga fresh kabisa na Aisha akaumia vibaya. Nilisikitika aisee na sijui kama atakuwa amerudi kucheza mpaka sasa.Hahaha sasa si hadi na yeye awe anaprefer hizo ishu kama hana preference hiyo inabidi uzame dm mzee.
Ila Luiz kwa Lehman anasmash binti mzuri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu achana na nyumbu, sisi tayari tumeshamaliza ligi, hizi mechi tunazocheza ni za kukamilisha ratiba tu.Nyumbu kanyooshwa
Fanbase yenu ni deluded ndiyo maana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu achana na nyumbu, sisi tayari tumeshamaliza ligi, hizi mechi tunazocheza ni za kukamilisha ratiba tu.
Pambaneni mchukue Epl, points 14 sio nyingi, kombe lenu kabisa hili.View attachment 3310461