Sure😀 😀 😀
Kwa hiyo bora Hamisi abaki huko huko alikojichimbia mpaka tubebe kombe kwanza?
naomba link ya source ya hii picha boss.
naomba link ya source ya hii picha boss.
naomba link ya source ya hii picha boss.
View attachment 3307250naomba link ya source ya hii picha boss.
Bila Partey kwenye first leg against PSG option ni Jorginho kama atakua fit
Ikiwa bado hatokua fit bora kocha aende na Merino-Rice-Øde, then CF akae Trossard
Kwa compactness ya timu ilivyo, sioni PSG wakifurukuta unless wanataka aibu na wao wakileta mpira wa kupishanaView attachment 3307255
Unajustify uzembe wetu kwa vitu vidogo tu ni kweli EPL tulidhulumia baadhi ya mechi ila tumekosa ubigwa mwaka huu, sababu kubwa majeraha na kutosajili striker wa maana kule mbele tunahitaji Mshambuliaji wa maana na winger mwingine level za Saka hawa Martineli plus Trossard hawawezi kutupa ubigwa ikubukwe ligi ni marathon unatakiwa uwe fit September to May .Ingekuwa EPL, ile penalty tusingepewa. Merino aliangushwa na wala hakulala na kulalamika bali aliamka chap chap na kuanza kurudi kudefend. VAR wakamuita refa aangalie screen, tukapata penalty yetu halali.
Ingekuwa EPL, ile penalty aliyopewa Mbappe kwa kujiangusha isingefutwa. Rice asingepewa yellow card bali angepewa red card. Pia, VAR wasingeangalia kuwa Mbappe alikuwa offside. Penalty ingepigwa tu tupende tusipende.
Tusisahau kuwa tumeshadhulumiwa zaidi ya 10 points na marefa na VAR kwenye EPL na tungekuwa karibu zaidi ya Liverpool au juu yao kama isingekuwa kwa hizo dhulma zao hao wabaya wetu.
Hapana, lengo langu siyo kujustify ama kuficha madhaifu yetu bali kusema tu kwamba pamoja na madhaifu hayo, kama kikosi finyu, majeraha, viwango vya chini vya baadhi ya wachezaji, nk, nasema pia kuna uhuni mkubwa tu tulifanyiwa ambao umetuumiza kutoka kwa waamuzi. Ni kuonyesha tu utofauti wa viwango vya waamuzi Ulaya na Uingereza.Unajustify uzembe wetu kwa vitu vidogo tu ni kweli EPL tulidhulumia baadhi ya mechi ila tumekosa ubigwa mwaka huu, sababu kubwa majeraha na kutosajili striker wa maana kule mbele tunahitaji Mshambuliaji wa maana na winger mwingine level za Saka hawa Martineli plus Trossard hawawezi kutupa ubigwa ikubukwe ligi ni marathon unatakiwa uwe fit September to May .
Hadi sasa unaongea na bingwa wa Uefa na bingwa #2 wa EPLKijana acha kuwafokea mabingwa wa Europa.
Ikifika May ndio utajua tofauti ya mafanikio ya Man Utd mabingwa wa Europa 2024/2025 na Arsenyau bingwa wa top4 na uefa semi final.
Si waliamua kufunika. Ubwabwa ushaiva sasa! 😂
Basi tufanye lile sio goli, tumelifuta.
Matokeo ya Jana ni moja moja
Kwa dakika mechi ilipofikia, aggregate na current score ya dakika zile ingekua dumb kutafuta red ambayo itafanya usicheze mechi tatu zijazo mkirudi CL.
Beki alikua sahihi kutofanya faulo
Walikuwa wahuni, Rudiger pia yuko hivyo na jamaa mwingine kaumia anaitwa Eder Militao.. wanatumia ubabe sana.Pepe na Ramos nadhani walikua na addiction ya red cards wao hawakujali dakika walaechi watakazokosa.