Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Walete timu yao iliyo bora

Acha waendelee kupiga ramli mpaka mwisho wa msimu, mwisho wa siku wataanza kusema "mna bahati tu timu zote shiriki zilikuwa mbovu" hapo ni baada kazi kuwa imekamilika...!!
 
Wewe utakuwa pacha wangu wa nje! Haiwezekani mfanano huu!
Mimi ni YANGA, ARSENAL, FRANCE ( Kwa sababu ilikuwa na wachezaji wengi wa Arsenal plus Zidane)
 
What sucks and what is scary is that we know we can be so much better.

Hebu Arteta na Berta na akina Kroenke acheni utani. Malizieni hiki kikosi na wachezaji wachache wa maana tuanze kubeba makombe tena.
Hiki kilichotokea kina maana kubwa sana....wachezaji wetu wte muhimu wataongeza mikataba mirefu....Saliba...Big Gabby...Martinelli ..Saka....na nahisi Partey atabaki kwa misimu miwili zaidi...Odegaard....na wachezaji watakuwa wakipigiwa simu na Andrea Berta kwamba tunakuhitaji...ni chap kidogo wanakuja...wanaona bomu linalotengenezwa....Manunu wajiandae zile 8 za enzi ya Ferguson hakyanani siku za usoni zinarudi....Zubimendi...Gyokeres...na left winger mwingine anakuja....msimu ujao Chelkenge na Manunu wasilete timu uwanjani....watajuta
 
Mara ya mwisho Arsenal kufikia hii stage ya kucheza nusu fainali ilikuwa ni Mwaka 2009

Tangu 2009 hadi 2025 ni zaidi ya miaka 16 sasa

Kama wenye timu wataongeza fedha, Kwa hiki kikosi chetu chenye wastani wa miaka 24 yajayo yanazidi kufurahisha πŸ’ͺπŸ’ͺ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…