Mimi nilisharidhika na kufika nusu fainali tu yaani. Ikitokea tumetolewa sitalaumu na ikitokea tumevuka nitafurahi tu.Gooners how do you feel to see our beloved team in Uefa champions league semifinal for first time after so so many years...??
Do you know none of our players who participated in our last UCL semifinal campaig is still actively playing? Even to the side that we played against Manchester united it's only Cristiano Ronaldo who is still active on pitch.
Kweli ni muda mrefu sana.
We live in the present, not the past15 UCL
Ubingwa wenu ni kumfunga Madrid pimbi nyie, hakuna kitu mnaweza tena.Hatujawahi kufungwa na Madrid. Tumewafunga mara 3 na wamewahi kubahatisha sare mara moja.
Ni Jorginho tuWithout Partey first leg nani unahisi kocha ataopt kumtumia?
Lewis-SkellyWithout Partey first leg nani unahisi kocha ataopt kumtumia?
bingwa mtetez katoka 😁 leo mmetoa kona 14🤩Nitakudharau. Ni better option kwa sasa.
125yrs 0 UCL🤣We live in the present, not the past
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaambiwa yule vini alipopata lile goli alishangilia mpk nikaangalia aggregate
Baadae waliingiza mchezaji mfupi huyo sijui mtoto akashindane na saliba ile kumuangalia vizuri nikamuona utosi bado unadunda
We jamaa ndio pimbi kweli. Yaani umekaa mpaka saa 6 usiku ukisubiri comebackUbingwa wenu ni kumfunga Madrid pimbi nyie, hakuna kitu mnaweza tena.
PSG hata kwenye kushambulia wana rely zaidi kwenye indivudual techinical skills ya washambuliaji wao kuliko tactical fluidity na cordination, ndio maana wanafika golini mara nyingi sana halafu mashambulizi yanakuwa butu, mpaka akina Kvaritshka wapate angle nzuri ya kupiga mpira ndoa wanafunga.Partey ayaikosa mech ya kwanza ya PSG
Arteta aje na midfield ya
Merino Rice Ø
Why?
PSG Wana midfield nzuri sana kwenye possession ila OOP (out of possession)ni wabovu sana
Walipokuja Emirates walituzidi kwenye possession,ila tuliwazidi Physicality na OOP , wakala 2-0
PSG watu wanaona ni timu tishio ila ubovu wao ni ukiwafanyia press wanakuwa ovyo kwenye kukaba ,
Na hiko kitu Mikel anakijua sana ,hata Villa Jana waliwafanyia hivo ,
Sasa kuwamaliza twende na midfield ya
Merino Rice Ø
Hapo Kuna physicality na OOP