Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Welcome to Emirates Library, the OFFICIAL HOME FOR PLASTICS!! hahahahahahahaha!!!!!


 
Wadau... Mambo vp?? Naona guys hawana hata International break... Nadhani hata thread zingine hazina mpango... Koz wote wa Manure, Liver, Chelsea etc huwa hamkauki hapa... Safi sana... Hii inaonyesha mna chuki na Arsenal wa kwenye Keyboard zenu tu... Ila kumoyo tupo pamoko... wote ni GOONERS!!!

Internationa Break imekwisha, Norwich City ndo next game... So far hakuna majeruhi... So nikuwawekea full mziki... Hakuna ku - understimate kitu... its time up kuongeza GD...

Gooners 4ever!!!!
 
...wakuu! Baada ya kuwa na break ya mechi za kimataifa, tunarudi tena kwenye kinyang'anyiro na leo ni away game pale Carrow Road nyumbani kwa Norwich City. Tuombe Mungu timu iende pale ili tuendelee pale tulipoishia kabla ya break, maana wakati mwingine hizi breaks huwa zinarudi na lows zake.
 
kama kawa .... wakuu Leo mtu anatupiwa bao mbili hivi
 
Nasikia kwa mbali vijana wako poa, RVP ataanza benchi kutokana na machale yangu Park au Charmakh ataanza pale kati kutokana na mtanange wa J5 vile vile huenda hata Oxlade kuanza ... ... ...
 
Reactions: Mbu



...THIERRY THE LEGEND...




"Arsenal will be in my blood as well as my heart. I will always, always, always remember you guys. I said I was going to be a Gunner for life and I did not lie because when you are a Gunner you will always be a Gunner. The club is in my heart and will remain in my heart forever." - TH
 
Naona Mertesacker, Kosci, Vermaelen wote wameanza.. Solid defence..RvP, Gerv, walcot kama kawa.
 

LEGENDARY HeNRY!! TiTi 14.
 
Timu ndio hiyo ... .... naona prof kawashitukia Norwich ... ... Szczesny, Koscielny, Mertesacker, Vermaelen, Andre Santos, Ramsey, Arteta, Song, Walcott, van Persie, Gervinho. Subs: Fabianski, Rosicky, Djourou, Arshavin, Chamakh, Benayoun, Coquelin.
 
Mbu lete habari mkuu .... .... mambo vipi naona ki-winter kinaingia huko majuu ... .... ...
 

dah hii defence .... jamaa labda wapite juu....
 
Tuko pamoja wadau wote wa arsenal,leo mungu akipenda tutashinda goli 2 au 3, tuombe mungu tupate ushindi ili tuendee juuzaidi ktk msimamo wa ligi.
 
RSP anakosa goli la wazi hapa good pass kutoka kwa Theo ... .... ...
 
Theo anawakosakosa hapa, jamaa anaokoa near the line ... .... ..
 
Norwich 1 - 0 Arsenal .... ..... ..... .... Martersacker kazidiwa ujanja pale poor defending
 
Huyu Martesacker nashangaa why huwa mnamuanzisha,sio defence mzuri kivile,kila siku mistakes zinatoka kwake.....m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…