Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi ni united , kusema kweli Inahitaji uwe na timu Ili kumfunga arsenal, bahati kwenye mpira ipo lakini haiji mara nyingi na Kwa jinsi nilivyoiona Madrid kwenye mechi kama nne zilizopita, kama watakuwa vile vile basi ni kichaa pekee ndo anaweza sema Madrid atamtoa arsenal Leo...Kwa kuwa united hatuna timu, binafsi nawatakia ushindi Arsenal.
 
Madrid anadhani kila wakati uefa Bahahati inamfuata. Ila akitangulia kufunga goli la kwanza kabla ya dakika 15 labda
 
Breaking

Party akamwata akipiga nyeto chooni kupunguza mchenyeto wa mechi mtu mbad Perez ameamuru arudishwe London 😅😅😅
 
Nimeona clip arteta anawafundsha wachezaji wake jinsi ya kupiga tackling 😅😅😅

Kwa akili ya kawaida tu zichenko ampige tackling vinicious kweli 😅😅😅
 
Watu watasema huyu ni Flano uvumilivu umemshinda
 
Watu watasema huyu ni Flano uvumilivu umemshinda
Hah, nmeangalia sana mechi za Arsenal, Liverpool, Barcelona msimu huu. Lakini Kwa Arsenal ni aidha umshinde kwenye mbinu (Hili ni ngumu sana) au umfunge Kwa janja janja kama tunavyofanya sisi united kwa baadhi ya timu kubwa, msimu huu Arsenal Iko tofauti sana, huwezi mfunga goli nyingi hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…