Duh kumbe goli 3 sio nyingi asee
Mechi yenu na Madrid haipo open sana Madrid anaweza kupiga come back(japo mimi sioni Madrid akipiga come back).Mechi watu wameitolea macho ni yetu kuliko Inter na Bayern.
Kila mtu anawaza hilo linaweza kutokea kwa kuzingatia history ya Madrid UCL.Mechi yenu na Madrid haipo open sana Madrid anaweza kupiga come back(japo mimi sioni Madrid akipiga come back).
Inter ba Buyern hii labda mpira udunde tu lakini unajua kabisa Inter anatoboa.
Huyu jamaa anakaribia kuleosha kitanda, tumwamshe au tumuache?Arteta has totally changed our life..
Rivals wetu wamegeuka kua motivational speakers..
Everytime scare us about Madrid..Mpaka Sasa they don't believe Modric,Jude na Camavinga were pocketed na Partey..
Leo tena tunaenda kupiga pale pale panapouma.π«£
Ila watu huwa mnateswa sana na Arsenal ππ
Tunapiga kwenye mshonoArteta has totally changed our life..
Rivals wetu wamegeuka kua motivational speakers..
Everytime scare us about Madrid..Mpaka Sasa they don't believe Modric,Jude na Camavinga were pocketed na Partey..
Leo tena tunaenda kupiga pale pale panapouma
inazungumzwa Sana, wengine wanategemea madrid kupindua meza ili wapate la kuongeaMechi watu wameitolea macho ni yetu kuliko Inter na Bayern.
Chura kabisaHuyu jamaa anakaribia kuleosha kitanda, tumwamshe au tumuache?
Ni kuwawekea kontena tu, Psg anatusubiri kule NusuJana timu zote zilipigwa ugenini ila zikashinda nyumbani. Tatizo ni kwamba zilishindwa kusonga mbele kwenye mashindano. Tatizo lingine linaloweza kuja kwetu ni kwamba Madrid anakuwa kapata matumaini kwamba kumbe kupindua meza kunawezekana na kwamba yeye akijiboresha kidogo zaidi, anaweza kututoa. Nategemea Madrid atuletee mpira wa high energy na atukabie juu ila akikosea tukawapiga counter, tunaweza kuwamaliza kabisa. Sisi leo kazi yetu ni kuwanyima nafasi za kufunga, huku sisi tukitumia vizuri zile chache tutakazopata.
Au tuache mawazo bhanaaaa. Tuwapigie ule mpira tuliowapigia Emirates tumalize mchezo na aggregate ya 7-0.