Sasa mmevimba vichwaa ,mnajiona mabingwa kabisa ,kumbe nyau tuWao: Hamtoki kwa Madrid.
Madrid kafa 3.
Wao: Ila Madrid wenyewe siyo wakali.
Sisi: Sawa
Wao: Kwanza huko Bernabeu lazima wapindue meza mtaona.
Watu wamepanic. Wapo kwenye stages za 'Grief'.
Ni sawa. Mpango wetu mtuuzie Chalobah na Disasi ili tuimarishe defense halafu tuwe mabingwa.Sasa mmevimba vichwaa ,mnajiona mabingwa kabisa ,kumbe nyau tu
Ninyi ubingwa wa UEFA mtausikilizia kwenye bomba tu
Unateseka ukiwa wapi kijana? Hivi tangu jana umekunywa hata maji kweli? Maana najua usingizi hukupata sababu ya kutokuamini kile ulichokiamini pale Emirate.Second leg arteta lazima alie. Kiufupi hakuna english team itakayotoboa kwenye ligi ya mabingwa.
Pah, pah pah pah, pah pah.Washika mitutu kazi yetu ni moja tu kulenga wote wanaokatiza..!! 😹😹
Chama ni moja A R S E N A L pah pah 🔫
Jersey yangu usijishaulishe 😹Pah, pah pah pah, pah pah.
WAMEKAA
Hilo mbona sio la kukumbushia..Jersey yangu usijishaulishe 😹
Woyooooooo..!!! 😘Hilo mbona sio la kukumbushia..
Jezi ushapata bado kuvaa tu.
🤣 🤣 🤣Woyooooooo..!!! 😘
Bado wako kwenye disbelief watakubaliana tu na hali lakin hapo baadae.Wao: Hamtoki kwa Madrid.
Madrid kafa 3.
Wao: Ila Madrid wenyewe siyo wakali.
Sisi: Sawa
Wao: Kwanza huko Bernabeu lazima wapindue meza mtaona.
Watu wamepanic. Wapo kwenye stages za 'Grief'.
Lamomy 😹😹🤣 🤣 🤣
Tuprint lamomy ama GROUP "O"
Yamekua hayo teeenaa..!! 😹Imeisha..
Nitakuvesha mweeenyewe.
Heee, ndio hatuaminiani kiasi hicho 🙄🤔Yamekua hayo teeenaa..!! 😹
Group siwaamini hawachelewi kucheza na nyavu km Arsenal 🤣
Heee, ndio hatuaminiani kiasi hicho 🙄🤔Yamekua hayo teeenaa..!! 😹
Group siwaamini hawachelewi kucheza na nyavu km Arsenal 🤣
Group O hawajawahi kuaminika… 😹Heee, ndio hatuaminiani kiasi hicho 🙄🤔
🤣 🤣 🤣
Sasa we hata ikiwemo unapungukiwa nini, si unazungusha nyonga tu ili kupUnguza muda wa kukaa juu 🤣😂, dk 5-7 wazungu hawa hapa. 🤣Group O hawajawahi kuaminika… 😹
Ukiachia upenyo imooooo…!!
Unaujua mpiraUnateseka ukiwa wapi kijana? Hivi tangu jana umekunywa hata maji kweli? Maana najua usingizi hukupata sababu ya kutokuamini kile ulichokiamini pale Emirate.
Labda nikujuze tu wewe na wenzako mnaoishi kimazoea, Arsenal hii ya Sasa ina uwezo wa kucheza kwenye uwanja wowote dhidi ya mkubwa yoyote na ikapata matokeo, maana tayari wachezaji wa waliopo wana ile charisma ya kucheza mechi kubwa zenye pressure.
kwa mtu yeyote anayejua mpira yale matokeo ya jana hayawezi kumshangaza, maana katika ya timu zote 8 zilizobaki real madrid ni timu iliyofika hapa kwa uzoefu tu na na wala si kwa ubora.
Na ilikuwa ni suala la muda tu wakutane na timu iliyobora kuliko wao ya kuwa expose Kuwa wao ni timu dhaifu... angalia hata huko nyuma alipotoka amekutana na mbovu mwenzie manchester city na kibonde wake wa miaka yote Atletico madrid.
Jana tumeona gap kubwa sana la ubora kati ya gunners na madrid, halafu eti unategemea madrid ataenda kupindua ubao kwake bernabeu? Hizo ni ndoto za alinacha... Achana na habari za Liverpool vs barca.... ile liverpool haikuwa chujio hivi kama hii madrid ya sasa, na pia Arsenal haina defense mbovu kama ile barca ya 2019.
Labda kwa ushauri tu ukiwa kama muombea mabaya, hizo dua zako labda uziamishie kwa Inter ambaye tutakutana nae fainali, maana hapo nusu fainali sioni wa kutuzuia na pia kule upande wa pili sioni wa kumzuia Inter asifike fainali.