Hii ndo hofu yangu kuu.Swala linabaki palepale.
Madrid wamezidi kuona wanachokosa kwa Saliba
Ndiyo hivyo tena.Yaani Kiwior na Skelly waishinde Madrid?
All the timeGod is great
Tungepiga 7 hawa.Huyu kipa apewe maua yake aisee.
Sisi tukipiga 5. 😀Hapo Benabeu tunapiga jitu goli 4
Rangi gani?Unasumbuliwa na ubaguzi wa rangi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yangu mkorea usijiaminishe sana, kumbuka hili litimu lenu halishindwi kuwafanyia surprise pale Santiago Bernabeu mpaka ukahisi roho inataka kuachana na kiwiliwili.Madrid out
This is arsenal [emoji91][emoji91][emoji91]3
Sasa man united wameingiaje hapa?Aisee kumbe Man utd sio wachovu kama madrid.
Aje psg nusu fainali, aston villa anakuaga mchawi mchawi sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yangu mkorea usijiaminishe sana, kumbuka hili litimu lenu halishindwi kuwafanyia surprise pale Santiago Bernabeu mpaka ukahisi roho inataka kuachana na kiwiliwili.