Hili halina msaada nyinyi kubeba EPL , mbona Jorginho ile 22 alipiga goli la ushindi vs Aston villa , kila siku cashmoney analalamika kuongezewa hela kwa jorginho😂😂Unaambiwa Berta kafika tu akasema scout anayependekeza wachezaji wa Chelsea afukuzwe.
Arsenal 3:3 soton hii ndo match niliamini kabisa arsenal hatakaa abebe EPL kwa miaka 100 ijayo. Ni bora man utd na chelsea wanaojitafuta huko watajipata na watabeba makombe zaidi ya mara moja huku arsenal akiwa patupu .
Kabla ya hii game arsenal alikua ametoka kusare game mbili nyuma ambazo zote alikua anaongoza 2:0 , ndo ikafika hii game sasa ramsdale kachoma nikaona mpira wavuni.
Hatujatulia kidogo akapewa mwanetu walcot daah bila hiyana akapiga kama henry vile chuma cha pili bora angeona hata huruma akapaisha.
Zincheko nakumbuka akawaita watu wote katikati ya dimba wakazunguka mduara sijui akawaambia nini vile goli 1 likarudi si unajua harakati za false hopes zilivyo. Tukajua ushindi upo hapa kama Bournemouth vile 3:2
Mara chuma cha tatuwatu hawaamini pale pale emirates.
Game inaisha 3:3 refa anapuliza kipenga naona ben white , odergard, magnales wakajitupa kama mizigo saka anachuchuma haamini , Southampton team ya mwisho ndani ya emirates match ya kuamua ubingwa lakini bado holla!!! Halafu leo kina mkorea na castr bado wanaamini watabeba ubingwa au uefa.
Mnabidi mjipige vifuani mara 21 mkikiri “ naam sisi ni false hopers tumekosa tusamehe eeeh BABA” maana hii imani mngeipeleka kwenye dini saivi mngekua mmetwaliwa kama nabii eliya na si kufa
Mliingia kichwa kichwa sasa mnatafuta wa kutupa mizigo yenuLeteni pesa tuwape Mudrichy😂😂😂
Ungesubiri kidogo mkuu ndiyo uhamie kwa mijusi milia. Sisi hapa tunasubiri makombe mawili watayonyang'anywa mama C115y wataposhushwa daraja. Halafu bado muda si mrefu tutachukua mengi tu ya kushinda kwa kuongoza ligi.Hili halina msaada nyinyi kubeba EPL , mbona Jorginho ile 22 alipiga goli la ushindi vs Aston villa , kila siku cashmoney analalamika kuongezewa hela kwa jorginho😂😂
Hizi ndoto na false hope nilizikataa sasa nipo kwa geordie tunanyanyua makombe tu kule na hapo tunatafuta beki 1 world classic tupambanie EPLUngesubiri kidogo mkuu ndiyo uhamie kwa mijusi milia. Sisi hapa tunasubiri makombe mawili watayonyang'anywa mama C115y wataposhushwa daraja. Halafu bado muda si mrefu tutachukua mengi tu ya kushinda kwa kuongoza ligi.
Mabeki world class wote tumewachukua sisi wamejazana pale Emirates. Tatizo letu ni striker tu na ndiyo hivyo kiangazi tunakuja hapo kumchukua Isak. Next season makombe yatakuwa mengi kwetu mpaka tutajenga ukumbi mkubwa tu wa kuyahifadhi.Hizi ndoto na false hope nilizikataa sasa nipo kwa geordie tunanyanyua makombe tu kule na hapo tunatafuta beki 1 world classic tupambanie EPL
Weka namba uokote mdogo wanguHizi ndoto na false hope nilizikataa sasa nipo kwa geordie tunanyanyua makombe tu kule na hapo tunatafuta beki 1 world classic tupambanie EPL
Tatizo false hopers mnaamini sana halafu ni wepesi wa kusahau.Mabeki world class wote tumewachukua sisi wamejazana pale Emirates. Tatizo letu ni striker tu na ndiyo hivyo kiangazi tunakuja hapo kumchukua Isak. Next season makombe yatakuwa mengi kwetu mpaka tutajenga ukumbi mkubwa tu wa kuyahifadhi.
unanchekesha heheheheeee aloo heheheheeeZubimendi + Rice alafu tumpate no.10 mkali zaidi ya Ø na tumsajili Isak, hivi unaachaje kuangalia mechi ya Arsenal msela wangu!
Sijui Viktor na Isak wanaushindani gani kwenye timu ya taifa na sijui hata Swedden wanatumia mfumo gani, ila nafikiri Isak yuko mbele yake kwenye uchaguzi. Nafikiri akija Viktor atakuwa na usongo wa kupambana kwenye EPL na kuonyesha kuwa anaweza kumpiku Isak kama main striker wa Sweden.Berta amezungumza na camp ya Victor.
Mashabiki tumegawanyika kuna wanaoprefer Victor na wengine Isak but financially ni sahihi zaidi kudeal na Victor.
Argument wanayompinga Victor ni umri na kwamba alishafeli EPL. But De Bruyne na Salah walishafeli EPL kabla ya kurudi tena.
Upingaji kwa Isak ni price tag ambayo ni kama 130M. Ukitoa hii inabidi usisajili baadhi ya nafasi. Hata hivyo binafsi naona Isak atafanya vizuri zaidi Liverpool au United kuliko kwetu pia alishakosa mechi kadhaa kwaajili ya injury.
That being said I think ni bora tudeal na Victor.
Aisee itabidi tupambane tushinde ili tuendelee kuishikilia nafasi ya pili.Washika mitutu wa London vipi Leo mnachomoka Kwa fulham
Victor is a total waste of money. Takataka nyingineBerta amezungumza na camp ya Victor.
Mashabiki tumegawanyika kuna wanaoprefer Victor na wengine Isak but financially ni sahihi zaidi kudeal na Victor.
Argument wanayompinga Victor ni umri na kwamba alishafeli EPL. But De Bruyne na Salah walishafeli EPL kabla ya kurudi tena.
Upingaji kwa Isak ni price tag ambayo ni kama 130M. Ukitoa hii inabidi usisajili baadhi ya nafasi. Hata hivyo binafsi naona Isak atafanya vizuri zaidi Liverpool au United kuliko kwetu pia alishakosa mechi kadhaa kwaajili ya injury.
That being said I think ni bora tudeal na Victor.