Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wote wamechanganyikiwa.

Arteta kacheza back 3 wakati defense yetu shit.

Kacheza 4 2 3 1.

Kaja na 4 3 3 ambayo wachezaji wengi hawakuepo.
 
Kama mmeshindwa kutufunga hii mechi ilopita msahau kuja kutufunga mkuu🀠🀠🀠....msimu ujao tutawafanya vbaya nje ndani tutakuwa na teka la magoli Sesko na winger machachari Nicolas William mixer kiungo Zubimendi...hakyanani mkisikia mechi na sisi msilete timu uwanjani
 
Komaeni huku ndo mnaweza mkashangilia makombe ya wanawake , kule tuachieni wanaume maana hampawezi.
Yaani UCL tanauwakilishi upande wa wanawake na wanaume. Bahati nzuri kote tuko na Madrid. Kuna timu imeshinda Carabao lakini hata league phase ya UCL hatujaiona, si wanaume wala wanawake. Wanawake wao sijui hata watakuwa daraja lipi huko kwenye ligi yao...
 
Mfumo?

Grealish, Savinho na Doku hawajakuta mfumo City?

First XI ya Arsenal juzi wengi wameanza kucheza first team football 2023. Same na muda walioanza kikosi cha Kenge.

Halafu caicedo hajasema mfumo. Usidhani peke yako ndiyo unajua kiingereza.
Amemaanisha mfumo nyie kondoo ndio mmeshikilia wachezaji, kocha ingekua sio mfumo asingeondoa wale wachezaji aliowakuta.
 
Wote wamechanganyikiwa.

Arteta kacheza back 3 wakati defense yetu shit.

Kacheza 4 2 3 1.

Kaja na 4 3 3 ambayo wachezaji wengi hawakuepo.
Kumbe wewe unaongelea formation? Huo ni mpangilio tu wa wachezaji.
 
Kw hiyo alipaswa kusema wamecheza kw miaka mi4 Sio saba. Cjui unanielewa point yangu?
 
Msiweke matarijio makubwa sana kwa msimu ujao, mana nyie ni wale wale kila msimu. Ni hivi hii chelsea mbovu itachukua kombe kabla yenu, na sitashangaa pia man u pia wakinyanyua kombe kabla yenu. Mpaka mje mshtuke Arteta ni mwanasiasa itakua too late.
 
Umesema vyema mna wawakilishi na si washindani hapo sikupingi. Na robo fainali ndipo mnapoishia kama kawaida yenu.
Mm binafsi naona arteta kama ni mafanikio arsenal kashayapata asepe akatafute makombe kwengine hapo arsenal mtamzeesha tu .
Mafanikio ya arsenal toka enzi zile ni kugombania nafasi 3 za juu nikimaanisha 2,3 na 4 yaani kushiriki UEFA na ndicho anachokifanya .

Carabao tumeshinda ndio!!! Unataka tushinde nini ?? UEFA wote mimi na ww hatuna haya niambie lini arsenal kashinda carabao cupπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ , nina uhakika hujawahi kushuhudi arsenal kabeba carabao as arsenal fan.
 
Wana miaka 33 hawajawahi kushinda League Cup.
Wazee wa Stay Humble.
 
Amemaanisha mfumo nyie kondoo ndio mmeshikilia wachezaji, kocha ingekua sio mfumo asingeondoa wale wachezaji aliowakuta.
Hakuna namna utajitungia logic zako na kulazimisha.

Yeye katamka timu imekua pamoja kwa miaka saba. Wewe unaleta story za mfumo, nimekupa mfano wa Grealish na wenzake.

Kwakua haufeed agenda yako umeuruka.

Its nice tumekua tunawafunga miaka yote hiyo kabla ya hao wachezaji kua pamoja mpaka wamekua pamoja
 
Sijazungumzia ubingwa hapa....nimezungumzia kukutungua ww....maana huwa mnajitutumua kabla ya mechi halafu kikishapigwa mnakuwa wanyonge kwli kwli🀠🀠🀠🀠....nyny ubingwa wenu labda ni kombe la mikutano maana kule kuna timu Zina Majina kama miti shamba ya waganga wa kienyeji hazijulikani hata zimetokea wapi
 
Hilo kombe lako nimelichukua miaka mingi kabla yako. Pia bado sijakaa zaidi ya miaka 50 bila kulibeba.

Kumbuka pia mimi bado sijafikia miaka 10 bila kubeba kombe lolote, yaani nina ka FA cup ka kuzugia huku nikipambana kubeba la ligi na UCL kwa mara ya kwanza.
 
Achana na makombe ya mwaka 1961 huku wakati wa kukusanywa kwenye vijijo vya ujamaa, ww kama shabiki wa arsenal umewahi shuhudia arsenal kabeba hili kombe toka uanze kuujua mpira .
Yaani arsenal kila sehemu tukiweka vigezo nyinyi mnaonekana vituko πŸ˜….
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Wewe una raha basi. Umeshuhudia Arsenal ikibeba FA Cups kadhaa na PL 3 ikiwa na Wenger. Sijui kama ulishuhudia ile UEFA Cup Winners Cup (mimi nilikuwepo duniani enzi hizo) ila baada ya Wenger umeshuhudia Arteta akibeba FA Cup katika msimu wake wa kwanza na kuifanya Arsenal kuongoza kwa kubeba kikombe hicho.

Bahati nzuru kwako, ukahamia Newcastle na kushuhudia wakibeba League Cup, kikombe chenu cha kwanza cha aina yeoyote ile (pamoja na kuwa kwa ufahari kiko chini ya makombe karibia yote mengine) tangu 1955.

Bahati yako nyingine ni kwamba kwa standards za Arsenal, mafanikio yetu yanaonekana ni madogo, licha ya kushinda zaidi na kuwakilishwa zaidi kwenye mashindano ya kimataifa, kuliko yakwenu ya kuchukua kikombe kimoja tangu 1955.

Siyo mbaya, standards huwa tofauti kwa timu tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…