Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta Ubora wake umekuwa kwenye kujihami zaidi na Defense ya Arsenal imekuwa nzuri misimu miwili nyuma, Msimu huu bado ni bora ila timu ina makosa mengi sana hilo eneo hillo watu wanamfikia sana RAYA, UTD Mbovu zaidi imemfanya Raya afanye saves karibu 5.

Hapa Umewa-downplay sana PSG bila zingatia jinsi wamebadilika mentally na Tactical! PSG walocheza na ARS ilikuwa na Kang In Lee kama CF, Leo wana "most in form ST" Ousmane Dembele, wana nguvu mpya kwa Khvicha,
Tunaweza weka kwa mfumo wa "Banter" ila Liverpool nje ya mchezo wa kwanza kuzidiwa kila kitu, mchezo wa marudiano walifanya mechi iwe nzuri. PSG, Barca, Inter ni aina ya timu ngumu zaidi kwenye hii hatua. ARSENAL ingekuwa na CF wa maana hadithi ingekuwa tofauti maana Arteta na madhaifu yake anaweza kiasi cheza KO's.
 
Tumecheza na Dembele.

Stats za big chances na missed big chances kwao ni endelevu siyo kwa liva tu hata kwenye ligi yao. Hata baada ya Khvicha kuwasili.

Nafikiri kwenye hii hatua kila mmoja ni mgumu isipokua Arsenal kwakua hana ST/ CF.

Kusema Arteta anajihami haina tofauti na aliyemuita Slot genius kwa kupaki basi dhidi ya PSG. But jaribu kuangalia stats Arsenal akifungwa timu pinzani anakua ameopt kucheza mfumo gani
 
Mimi naanza kuyahesabu huku , nyinyi kazi yenu ni kuhesabu phases tu .
Arsenal hata tukiwachukua tuwaweke final UEFA still hamtabeba kombe .

Tunaenda kubeba EPL , UEFA na makombe yote yale tutakayoshiriki nyinyi mtakua nado mnahesabu phases tu, kuna hii phase nilicheka nilivyoiona et phase inasema β€œ Establishing yourself at highest level in the champions league ……… and being very close to touching big trophies β€œ yaani malengo sikuchukua kombe bali ni being close to touch trophies, halafu baadae mnamlaumu arteta wakati kubeba kombe si kipaumbele.
 
Leo hii tukichukua point za Liverpool tukawapa Arsenal kwa hizi game zilizobaki na point zenu tuwape liverpool bado bingwa atakuwa Liverpool.

Tukiwachukua tuwavushe mpaka fainali yaani mcheze final tu bado hio UEFA mtakosa.

Yaani mmfunge courtious na vishuti anavyopiga odergard kweli vile wakati alvarez alishindwa ndo aje afunge merino , mpo serious kweli ?πŸ˜‚.
Saivi mpo kwenye false hope ya 2006 ambayo individual performance ya henry ndo iliwavusha , henry mwenyewe kawakataa anasema safari ya false hopers has come to an end.

Nyinyi leg zote mbili mnakufa si chini ya goli 3
 

Attachments

  • IMG_2635.jpeg
    1.4 MB · Views: 17
Dembele hakucheza ile match.

Kwenye hii hatua wote ni watu wazima kasoro nyinyi false hopers tu , vitoto vingi hata wangekuepo kina kai ,saka, jesus na hopers wengine wote bado nyinyi mgekua underdog , kwani striker wenu arsenal ni nan ambaye hayupo???πŸ˜‚.

Naskia mnamtaka bruno G, hata kama wewe ungekuwa bruno ungeweza kweli kwenda team kama arsenal! Kutafuta nini pale asenali.

Cheki striker la ball sijui ni wewe au mkorea mlikua mnaiita miguu mirefu
 

Attachments

  • IMG_2636.jpeg
    1.1 MB · Views: 19
Punda kabisa
 
Bora Liverpool kuliko nyinyi mlichofanya mwaka jana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mlipiga mazoezi ya ki false hope sana
 
Punda kabisa wa Tarakea Rombo ndanindani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Mwaka mwingine without trophy.
Labda uefa mtachukua sio??? Maana kuna arsenal fan nilimuuliza vipi anakuambia tupo uefa , nikamuuliza mpo uefa mnafanya nini ??
Kwa team zilizobaki team pekee ambazo hazina uefa ni nyinyi na PSG ndo maana mnajificha sana kwenye kivuli cha PSG japo sio saizi yenu .
Ni rahisi sana kwa aston villa kushinda hili kombe kuliko false hopers.
 
Punda kabisa wa Kintiku
 
Nawashauri mngeanza kujadili usajili kwa ajili ya msimu unaofuata kuliko kuongelea habari za UCL ambayo ni kama tayari mmeishatolewa ila tarehe ya mchezo husika ndio inawachelewesha tu.
Isak na Bruno tunawataka. Kiangazi hapa tunawamwagia mpunga na kuondoka nao waje Emirates tuchukue nao treble.
 
Andrea Berta, aliyekuwa Sporting Director wa Atletico Madrid, anakaribia kujiunga na Arsenal kama Sporting Director wetu, akichukua nafasi iliyoachwa na Edu.

Nadhani wengi wetu hatujui masuala ya masporting director ila tuliuona umuhimu na mchango wa Edu katika kuturudisha top 4 na kupambania ubingwa. Naweza kusema kuwa nadhani msimu huu tumekutana na majanga ya majeruhi, dhulma, kupoteza form na bahati mbaya nyingi zilizoyumbisha msako wetu wa msimu, ila kumpoteza Edu November mwaka jana nalo ni pigo moja wapo kwetu msimu huu.

Je, mnadhani Berta, kutoka timu iliyofanikiwa Spain akiwa nao, atatusaidia kupiga hatua mbele ya tulipofikia hapa sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…