Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,796
- 4,297
Mhuni mwakani anarudi pale pale miaka 20 ya kipara epl atachukua mara 14 ,Arsenal ataendelea kuwa muhangaYule mhuni genge lake la mafisadi lolote baya liwakute. Nampenda na namheshimu sana ila namuombea mfululizo wa vichapo tu mpaka ligi iishe.