Unatumia vigezo gani kusema Rice hajaweza kucover DM?
Tatizo mnataka Rice acheze kama anavyocheza Partey.
Xaka naye alikuwa anatuoffer nini ambacho unaona hakuna mchezaji (Rice) anayeweza kufanya?
Hivi kuna mchezaji anayetupa energy kumzidi Rice Arsenal?
Weakness pekee ya kuboresha kwa Rice ni kwenye build up labda na vertical passes basi na sio kwamba yupo vibaya kihivyo.
Unauliza natumia vigezo gani kusema Rice kapwaya DM ikiwa hadi leo hajachezeshwa tena DM na nafasi anaicheza Partey au Jorginho?
Kama hujui alichokua anaoffer Xhaka na mpaka wanasajiliwa wachezaji wawili kuja kuziba hilo pengo mimi sina cha kusema.
Sina uhakika kama Rice ana hiyo trait, najua alikua nayo Saka. Ni vizuri kama Rice ndiye energizer wetu.
Sasa kama hana build up nzuri na pasi hayupo vizuri unamuwekaje DM? Naona umezunguka na kurudi pale pale.