Steringiiiiiii, uyu jamaa arteta aliona kipi cha special, chezaji vivu, hawezi kupiga cross, hawezi kushoot, mbio hana siku hizi, inshort ni zigo la misumali.
Ila kile kipindi cha pili bwana mdgo Odegaard alikuwa kama iniesta hivi mchakamchaka tu....Mungu asaidie tuende hivi hivi mpk Bukayo na Martinelli warudi....hyu Nwaneri Saka akirudi aisee wamuweke hata pale forward atatufaa....mtoto ana balaa sana yuleπ€ π€ π€
Steringiiiiiii, uyu jamaa arteta aliona kipi cha special, chezaji vivu, hawezi kupiga cross, hawezi kushoot, mbio hana siku hizi, inshort ni zigo la misumali.