Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292


Leo miamba Bayern Munich wapo uwanjani wanakipiga na Celtic, Arsenyau ombeni sana Bayern asifanikiwe kuvuka hii hatua la sivyo Mechi inayofata ya Arsenyo atapangiwa na hawa wahuni wa Ujerumani na ndio itakua mwisho wa Arsenyo kwenye hii michuano ya ulaya.