Sidhani, sijasikia, ila kwa mourinho ni bora timu icheze bila kocha, kama kundi la wahuni tu.makaveli10 nasikia Mourinho aki beba ubingwa na fernanabache, ana weza kuja London.
Mourinho unaweza ukamlinganisha na kocha gani hapo kwako?Sidhani, sijasikia, ila kwa mourinho ni bora timu icheze bila kocha, kama kundi la wahuni tu.
Kwa umri, urefu, style of playing, mafanikio ama kulinganisha nini?Mourinho unaweza ukamlinganisha na kocha gani hapo kwako?
Jana kenge leo kuku ila hutasikia wakiulizwa kitu


Nyie mna miongo kadhaa hamjabeba Epl wala kombe lolote la maana, ila Kenge na kuku ndani ya misimu kadhaa iliyopita wamebeba Epl pamoja na makombe ya Ulaya ambayo nyie hamjawahi kubeba kabisa tokea hii dunia imeumbwa.Mafanikio..........nadhani wenger amemzidi huyo urefu tu.Kwa u
Kwa umri, urefu, style of playing, mafanikio ama kulinganisha nini?
EnheNyie mna miongo kadhaa hamjabeba Epl wala kombe lolote la maana, ila Kenge na kuku ndani ya misimu kadhaa iliyopita wamebeba Epl pamoja na makombe ya Ulaya ambayo nyie hamjawahi kubeba kabisa tokea hii dunia imeumbwa.
Huu ukweli ni mchungu hatuutaki humu, tuletee takwimu za kai alivyo perfect footballer 🤣Nyie mna miongo kadhaa hamjabeba Epl wala kombe lolote la maana, ila Kenge na kuku ndani ya misimu kadhaa iliyopita wamebeba Epl pamoja na makombe ya Ulaya ambayo nyie hamjawahi kubeba kabisa tokea hii dunia imeumbwa.
Real siku hizi wamekuwa wachumi sana kwa hiyo pesa watajiuma uma sana.Madrid inamtaka Saliba.
Arsenal ipo tayari kumuuza kama Madrid itatoa angalau kuanzia 80M
Sidhani kama watashindwa kuitoa.Real siku hizi wamekuwa wachumi sana kwa hiyo pesa watajiuma uma sana.