Yap..unaangalia aliyevutwa alikuwa kwenye position gani. Gordon asingevutwa alikuwa anatoa pasi ya mwisho kwa Isack na ingeleta goli la pili. Ile ya Kai haikuwa na hatari yoyote hata asingevutwa.
wazee wa kulialia tayari mmeshaanza, mkionaga tu mambo magumu mnatafuta visababu vya kipuuzi.
Leo Arteta atalalamikia mpira ulikua hauna upepo wa kutosha.