Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hongereni sana The Gunners, kumfunga Mama Cita goli 5 sio mchezo, sidhani ndani ya hii misimu minne kuna timu nyingine yoyote iliyoweza kumgonga City goli 5.
Mngefanikiwa kumgonga goli 6 ingependeza zaidi tukawapachika rasmi jina la Man6 kama tulivyo wagongaga nyie goli 8 na kuwapachika jina la Arse8.
All in all leo jiji na Manchester limefedheheshwa vibaya mno sio kwa Nyumbu wala hawa dada zake Nyumbu.
 
Kiongozi wao ni hamis matakwimuπŸ˜‚, nakumbuka bro uli sema hapa.
 
we mpira unaangiliaje, kwamba Liverpool ni wazuri kwenye press? huyo sio klopp ni slot
 
Naona umetukubali kiaina, lakini bado umetusagia kunguni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…