Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Havertz alivyokosa mpaka Guardiola kashika kichwa kachuchumaa chini kiasi ya kwamba hajaamini ni kwanini Havertz kakosa pale.. Havertz ni fala sana, upo peke yako kabisa unashindwa hata kupiga on target
 
Havertz alivyokosa mpaka Guardiola kashika kichwa kachuchumaa chini kiasi ya kwamba hajaamini ni kwanini Havertz kakosa pale.. Havertz ni fala sana, upo peke yako kabisa unashindwa hata kupiga on target
Yan maajabu sana
 
Hii ndio tofauti yetu sisi na Liverpool. Na ndio maana Liverpool hayupo pale juu kimakosa.. Liverpool kwenye pressing wapo vizuri sana hawajawahi kuridhika.. Ukiingalia hii mechi ni kama vile Arsenal wameridhika na hawataki kuwapress Man city ambayo inaonekana wapo Vulnerable sana. Kuna muda wanacheza back pass ambazo hazina maana wakisubiri man city wafanye makosa ndio watumie nafasi.
 
sasa nipo sehemu ina connection kidogo naona mnamtukana Kai.

makaveli10 jamaa kama kawaida yake?
Nipo safarini, sicheki game.

Hao wanaomtukana kai wamechelewa kumjua, sisi tulisema kai ni kiazi, wao wakabaki na takwimu zao sijui ariel duels, sijui kimeenda kimerudi..
Mie nilishagongelea msumari kai ni kiazi na hafai kuchezea arsenal.

Ni kama vile nilivyopokea matusi wakati nasimama na partey, watu walipiga kelele wee, kiko wapi.

Kai ni kiazi.
Ikiwezekana miaka ya kai ipunguzwe apewe partey
 
Hayo ni maneno tu ya mkosaji anaongea huku roho inamuuma, kwani huyo baiSkelly wenu amesubiri miaka mingapi kuingia 1st eleven?
Nakuhakikishia huyohuyo Castr ulie mquote atakuja kulialia humu na kulaumu kwa nini Arsenyo inauza wachezaji ambao ni assets kama Ayden Heaven na Chido Obi-Martin kwa bei ya maandazi na kuiacha migalasa kina Kai Kiazi View attachment 3222014View attachment 3222015
Mkuu?
 
Back
Top Bottom