makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,905
- 104,172
Huwezi kuiita arsenal ile kuwa false hopers.. Arsenal hii ilitisha, hii fainali Thierry Henry alituua alikosa goli nyingi, lakini ile kadi nyekundu ilitumaliza, huenda tungepata kombe usiku ule.Daah hii gemu enzi hizo ni false hopers , dk ya 79 na 81 hope zikakataaa etoo na belleti kama sikumbuki vizuri
mbona mapema sana hiyo ufananishoBeki mmoja anakufungia magoli na kuyazuia. Mwingine famililah kinachokuja na kije ila mshahara sasa
View attachment 3211700View attachment 3211701
Lini itakua fair?mbona mapema sana hiyo ufananisho
leny bado sanaLini itakua fair?
Maguire je?leny bado sana
pigo za ten hag bald fraud😁 nikikumbuka alisema anataka kipa anaeanzisha mashambuliz😥Kuna article inasema nyumbu wana spending ya CL ila mapato yao hayaruhusu hata spending ya Europa
View attachment 3211707View attachment 3211708
prime harry hamna beki ya arsenal inafikia afu alikua leicester cityMaguire je?
Prime Harry alikua mwaka gani?prime harry hamna beki ya arsenal inafikia afu alikua leicester city
2017/20 🔥Prime Harry alikua mwaka gani?
kwa david 🙌Hua mnatoa wapi takwimu za uongo?
View attachment 3211894View attachment 3211895View attachment 3211896
kashatua theatre of dreams 😁David Ornstein:Arsenal working on deal to sign Sverre Nypan from Rosenborg. No agreement or decision on 18yo midfielder’s future so situation open - but talks with #Rosenborg & player camp advancing as #AFC try to land Norway youth int’l. W/ @gunnerblog @TheAthleticFC
View: https://x.com/David_Ornstein/status/1882862860138877249?t=qf_uDqDpoj9alCC9tW04fg&s=19