Jana nimecheki mpira, daha, chama linsikitisha, tunacheza kama vile timu ya shule ama academy yenye kocha mzuri, hatuna maturity kabisa, pale mbele ndio kabisaa.. Huyu arteta wakimchekea hatutaambulia kitu.
Kuna mali moja kai kapasiwa, ilikuwa aguse mpira tu uende goli kipa apambane na hali yake, akaopt kutuliza mpira na kufinya, kumbuka ye na kipa ilikuwa umbali kama wa mita 3 tu. 😂
Kwani yule Jonathan david wa lille si atakuwa free, bora yuoe kuliko kiazi kai