Partey kashacheza CB mara kadhaa msimu uliopita. DM kucheza nafasi ya defender siyo jambo la ajabu ila kwa Arsenal ya sasa ukimtoa Partey katikati ndiyo unakuta CMs/DMs wa timu pinzani wanaweza connect vizuri tu kuanzia kati mpaka golini.Kweli. Tuachane na yaliyopita. Ila kwa jana nasema ni yale yale ya sisi kukosa kidogo na wao kupata. Je Partey angewahi kidogo au Timber angekuwa RB ile cross ya goli la kwanza ingezuiwa? Haya cross ilipigwa ila...je Merino angefikisha mguu nusu sekunde kabla si Tielemans asingepata header?
Ok, Tielemans amepata header ila kidogo tu Raya aokoe....au je Raya angetokea kuclaim ile cross...? Mambo yote yamekaa sawa Villa wakapata lile goli ila wangeweza kukosa kimoja kati ya hivyo vingetokea. Marubani wanaita hii 'Swiss Cheese Model'.
Goli la pili pia, Havertz angeugusa kidogo zaidi ule mpira, Watkins hafungi. Au Raya angeiclaim ile cross...?
Lakini kwa kweli kwa game ya jana simlaumu sana Partey kwa position yake maana naweza kusema ni lile goli moja la kwanza alichelewa kuzuia cross ila mengine yamgefanyika kuzuia goli.
All the while unaona katikati panakua location average zaidi. Situations zote ulizoelezea zingeweza saidia but zingefika huko kote kama kocha angefanya game management?
Ugumu niliouona ni kwamba unaona kabisa unahitaji sub lakini ukiangalia benchi huoni sub unaifanyia kwa nani. Ndiyo mwisho unasub Sterling sasa.