Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unamaanisha tumbo la Havertz siku hizi linakaa mkononi au mimi ndio sijaelewa vizuri?Waswahili watasema tuna mikosi.
Yaani VAR wameangalia ule mpira umemgonga Havertz tumboni na wakasema handball kweli? Mimi naendelea kusema ukweli ninaohisi kuwa officials wako dhidi yetu kuliko wengine.