asenyoz π€£Aondoke tuu akatafute timu ambazo zinagombania mataji
Kocha nae kimeo.Kama unakumbuka wakati arteta anapewa timu matarajio na mafanikio yalipangwa kwa phases.
Hata wachezaji tuliokuwa nao na tuliosajili wengi walikuwa ni kwa ajili ya kutengeneza mazingira ya kuaminiwa na world class players.walikuwa wanajenga standard ya timu na kurudisha trust na support ya fans na investors.
Wachezaji kama tavarez,Lokonga and the likes walikuwa ni level raisers .Tulipoingia phase four na five tulihitaji toptop class players.
Eneo la defense you see quality regardless makosa ya mara mojamoja .
Ila upande wa midfield we lack something.
Attacking line inakosa toptop quality.
Na hapa ndipo unapoyaona makosa ya wamiliki na matajiri wa timu.
Sajili nyingi tulizofanya tunazofanya ni option B au C na hii inachangiwa na kutoingia katika bidding war au slow negotiating process inayotokana na installment za ajabu za malipo.
Kuna makosa ya kocha kama sajili ya harvets and the likes ila ukweli unabaki wazi kwasasa ili uchukue Epl huhitaji tu kocha ambaye ni tactical genius bali you need money to spend,a lot of money.
Unasajili mtu asipo click usisubiri miaka mitatu find immediate replacement.
Angalia anachofanya pep na man city January hii halafu subirini may.
Kuumia kwa key players wa man city maana yake quality kwenye pitch ilipungua,wameliona na 170m imeshatumwa kutatua tactical and technical deficiency
Wasalaam
Kocha nae kimeo.
asenyoz acha uoga ila jiandae kisaikolojiaKesho tutavaa tena all white kit.
Hatujawahi kushinda mara zote tulizovaa hizo jezi.
Kesho tunaandika history.asenyoz acha uoga ila jiandae kisaikolojia
Kesho tunaandika history.
Kwa mara ya kwanza tutashinda huku tumevaa zile jezi
Sababu za ovyo kabisa.View attachment 3199328
pira la leo hili chunguzen mapema π
arteta hua ananifurahisha π mjipange kisaikolojiaSababu za ovyo kabisa.
Kama super team hilo pira linatusumbua nyinyi tia maji tia maji itakuajeView attachment 3199328
pira la leo hili chunguzen mapema π
π 90 dkk zitaamuaKama super team hilo pira linatusumbua nyinyi tia maji tia maji itakuaje
Haka kajamaa kana kakiburi fulani, ulimbukeni pia, na kanajiona kamemaliza.. Hii itamrudisha nyuma.Arteta kaulizwa kama ana mpango wa kusajili January kajibu labda wakiona mchezaji ambaye akifika ataleta impact na siyo kumleta mchezaji kwakua ni mchezaji tu.
Nyinyi lazima mpasukeπ 90 dkk zitaamua
Nyinyi lazima mpas
1-2 FT πNyinyi lazima mpasuke
Magoli yenu atascore nani1-2 FT π
Comfort zone imezidi.Haka kajamaa kana kakiburi fulani, ulimbukeni pia, na kanajiona kamemaliza.. Hii itamrudisha nyuma.
joshua mutale budo na Amad dialo messiMagoli yenu atascore nani