Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tukifanya hesabu uchwara:
Ten Hag per season:
546/2 = 273

Arteta per season:
700/5 = 140
na tukisema tuforce iwe misimu 6...
700/6 = 116

Itaonekana kama Ten Hag per season > 2(Arteta per season).

Lazima tapeli hapo aonekane wazi wazi kabisa.
Arteta uwezo wake umeishia hapo, hamtaki kukubali,,, klopp alikuwa muwazi akasema "I'm running out of energy "
 
Mimi ni arsenal, ila kwa hili nakataa Kumbuka ume tuandalia ubingwa kila msimu

View attachment 3196273

jamaa katelekeza kabisa jukwaa, nakumbuka alimuahidi mtoto wake msimu uliopita kuwa arsenal akibeba ubingwa sijui atamnunulia nini.

Yan anamchosha dogo kwa ahadi hewa wakati anajua kwenye moyo wake arsenal hata iwe nini hawezi chukua epl.
 
Jokes aside.

Worst run, kocha kasema mpira ulikua tatizo.

Havertz, Saliba na Timber wote walikua na fursa za free header. Shots na chances vyote vingi. 3. xG shida iko wapi?

No striker.

But, siyo ishu. Against nyumbu na kenge haijawahi kua sure tuna run gani kwa muda huo, so on 12th ni kushinda tu
 
Arteta ni wenga aliechangamka
 

Attachments

  • 1736328035127.jpg
    289.1 KB · Views: 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…