Tulikuwa na tofauti ya points ngapi na anayeongoza?Kuna mtandao nipo kuna hoja wameianzisha ambayo inaonyesha kwa msimu wa 23/24 katika games 20 tulikua na points 40 sawasawa na kipindi hichi.
Isipokua kwa msimu wa 23/24 tulikua nafasi ya 4 na msimu huu kwa points zile zile tupo nafasi ya 2. Wanasema inawezekana fans tunaoverreact ila kila kitu kipo under control.
View attachment 3194022
Tulikuwa na tofauti ya points ngapi na anayeongoza?
Brighton ni timu nzuri, yenye kocha mdogo mwenye ambition, wachezaji wazuri super talented sio rahisi kutengeneza chances kwa kiwango unachodhani, baadhi ya mechi utashinda ushindi mwembamba, fine margin, mpira upo hivyo, inapotokea referee akaharibu ushindi huo ndipo watu wanalalamika.Dropped 4 points kwa Brighton.
Ukifanya kazi inayohitaji results hua tunajiuliza "When all else failed what was I doing?" Sawa game ya kwanza tulipata red and then what did we do?
Game ya pili sawa penati inaonekana ina upendeleo timu yetu ilifanya nini? Chances haziwi created na watu hawaendi mbele hilo ni kosa la refa?
asenyoz acha uoga😁Nwaneri anaumwa.
Baada ya game na Newcastle tuna game na nyumbu kwenye FA. Kuna page imetabiri kikosi cha kesho kinaweza kua hivi View attachment 3194305
Ingawa naona ni ngumu kiasi. Why?
Baada ya game ya kesho tarehe 12 tuna game na nyumbu kwenye FA. Kisha baada ya tarehe 12 unarudi mchaka mchaka wa kila baada ya siku 2 mechi.
Nahisi Arteta anaweza risk starters game ya kesho zaidi kuliko ya nyumbu labda waingie dakika za lala salama, ukizingatia sisi tupo CL na ligi wakati tunaokutana nao hawana cha kupoteza siyo kwenye ligi wala nje ya hapo so wao watakua full mkoko kutuzidi.
Check form ya Brighton ya msimu huu na uliopita na ambayo tuliwafunga effortlessly nje ndani. Wakiwa na kocha aliyehusishwa kurithi kazi ya Klopp.Brighton ni timu nzuri, yenye kocha mdogo mwenye ambition, wachezaji wazuri super talented sio rahisi kutengeneza chances kwa kiwango unachodhani, baadhi ya mechi utashinda ushindi mwembamba, fine margin, mpira upo hivyo, inapotokea referee akaharibu ushindi huo ndipo watu wanalalamika.
Mpira wa kusema brighton au brentford au Forest ni timu ndogo umepitwa na wakati, kina Trossard, Ben white, cucurela hata Moises Caicedo walitoka brighton na walisajiliwa kwa mamillion ya pesa, leo tunahusishwa na wachezaji km Mbeumo, Semenyo n.k wanaotoka timu za aina hii tukidhani kwamba wanaweza kutuvusha kwenye daraja tulilokwama, wapo kina Baleba, Mitoma n.k wanahusishwa na timu kubwa kama Liverpool, kwa hiyo si rahisi kutengeza chances 20+ unapocheza na timu kama hizi. Unapopata goli hata moja unahitaji kulilinda ukicheza na timu za aina hii hasa ukiwa kwenye title race, ukipokonywa kwa makusudi lazima ulalamike.
Na ukumbuke mechi hiyo tuliwakosa first teamers wangapi kutokana na ugonjwa au majeruhi, it must affect our dynamics dhidi ya timu aina ya Brighton, tusingeweza kutengeneza zaidi ya tulichofanya.Check form ya Brighton ya msimu huu na uliopita na ambayo tuliwafunga effortlessly nje ndani. Wakiwa na kocha aliyehusishwa kurithi kazi ya Klopp.
Kisha kama uliziangalia mechi, kumbuka ni wapi tulionyesha we really mean business. Notice kwamba Brighton hawakua na ST wao mkongwe mechi ya juzi.
Na kila tunapodrop points, ubovu wa timu ni uleule. Not mobile enough going forward not creating chances enough. Na hii hutokea kila inapotakiwa isitokee
Leo against Newcastle. Unaweza share idea unaonaje kikosi?Na ukumbuke mechi hiyo tuliwakosa first teamers wangapi kutokana na ugonjwa au majeruhi, it must affect our dynamics dhidi ya timu aina ya Brighton, tusingeweza kutengeneza zaidi ya tulichofanya.
Kumbuka pia hii ni nusu fainali na ni mda mrefu hajanyanyua kombeNwaneri anaumwa.
Baada ya game na Newcastle tuna game na nyumbu kwenye FA. Kuna page imetabiri kikosi cha kesho kinaweza kua hivi View attachment 3194305
Ingawa naona ni ngumu kiasi. Why?
Baada ya game ya kesho tarehe 12 tuna game na nyumbu kwenye FA. Kisha baada ya tarehe 12 unarudi mchaka mchaka wa kila baada ya siku 2 mechi.
Nahisi Arteta anaweza risk starters game ya kesho zaidi kuliko ya nyumbu labda waingie dakika za lala salama, ukizingatia sisi tupo CL na ligi wakati tunaokutana nao hawana cha kupoteza siyo kwenye ligi wala nje ya hapo so wao watakua full mkoko kutuzidi.
Hii mechi ni two legged.Hii
Kumbuka pia hii ni nusu fainali na ni mda mrefu hajanyanyua kombe
Tulia shemejiHili timu linanitesea mke wangu tu na kuliacha hatak
Newcastle piga Hawa washika manati
Changes ndogo sanaNwaneri anaumwa.
Baada ya game na Newcastle tuna game na nyumbu kwenye FA. Kuna page imetabiri kikosi cha kesho kinaweza kua hivi View attachment 3194305
Ingawa naona ni ngumu kiasi. Why?
Baada ya game ya kesho tarehe 12 tuna game na nyumbu kwenye FA. Kisha baada ya tarehe 12 unarudi mchaka mchaka wa kila baada ya siku 2 mechi.
Nahisi Arteta anaweza risk starters game ya kesho zaidi kuliko ya nyumbu labda waingie dakika za lala salama, ukizingatia sisi tupo CL na ligi wakati tunaokutana nao hawana cha kupoteza siyo kwenye ligi wala nje ya hapo so wao watakua full mkoko kutuzidi.
Kumbuka tulikosa ubingwa pia. Hivyo tunahitaji namba zinazoonesha kuna kuimarika zaidi.Kuna mtandao nipo kuna hoja wameianzisha ambayo inaonyesha kwa msimu wa 23/24 katika games 20 tulikua na points 40 sawasawa na kipindi hichi.
Isipokua kwa msimu wa 23/24 tulikua nafasi ya 4 na msimu huu kwa points zile zile tupo nafasi ya 2. Wanasema inawezekana fans tunaoverreact ila kila kitu kipo under control.
View attachment 3194022