Nani huyo?LB mwingine wa academy ameanza kutrain na timu ya wakubwa.
What is it with our team na LBs?
Cam'ron IsmailNani huyo?
Hatari na nusu. Mechi tisa ndani ya mwezi.
Mwanzo niliona Kenge upana wa kikosi utawafavour ila kwa mechi zao mbili za mwisho sina imaniHatari na nusu. Mechi tisa ndani ya mwezi.
Walishatoka hao.Mwanzo niliona Kenge upana wa kikosi utawafavour ila kwa mechi zao mbili za mwisho sina imani
Dah! ila January inakuaga na fixture mlima sana.
Ila hii interval ya mechi ni kwa kila aliye CL na Europa.Dah! ila January inakuaga na fixture mlima sana.
Mechi 9 ndani ya siku 31! Ndio maana arsenal wanapoteanaga come january!
Hivi Steringi toka amekuja mchango wake binafsi sijauona yaani ule Moto wake sijauona au bado hajajaa kwenye mfumo?Rashford na Garnacho wanaweza kupatikana January au kiangazi. Dani Olmo na Pau Victor same scenario.
Kuna mashabiki wa Arsenal wanasema ikiwa Rashford atakubali mshahara upungue au united ilipe atakua rotational player mzuri hapa Emirates.
Mechi dhidi ya Newcastle au Brighton ilimuonyesha mchezaji mvivu mpaka ikatengenezwa meme. Rashford alikua anajog in circles with no desire kuengage kuchukua mpira. Garnacho kwenye mechi iliyopita waliyopigwa tatu alinyang'anywa mpira badala ya kunyanyuka aengage akawa anaweka vizuri soksi.
Wapinzani wakaongeza goli.
Kuna wakati namuelewa Arteta kwanini anampa namba Martinelli bila kujiuliza. Martinelli atapokonywa mpira ila utamuona anaukimbilia, na hachoki kujaribu.
Pamoja na yote sitashangaa Rashford akija. Why? For years tumekua kama dampo la wachezaji wa timu nyingine, recent example ni Sterling. Ila tushakua na Welbeck, Mkhtaryan, Cech, Luiz, Galas, Willian, Havertz kuna wengine walikua decent na wengine walikua hovyo.
Kama Rashford akija physical demanding ya Arsenal ataiweza?
pesa si bora tumuongeze KAI ana kitu walau tumekionaSTERLING ana matatizo ya kiufundi, soon mtaona moto wake. Wazee tuongezeni angalau pesa kidogo kwa Sterling mashine ya kazi. Acheni ubahili basi
Nafikiri tumempata akiwa kashavuka kipindi chake cha ubora.Hivi Steringi toka amekuja mchango wake binafsi sijauona yaani ule Moto wake sijauona au bado hajajaa kwenye mfumo?
Labda pengine Chelsea alikutana mfumo tofauti au tuseme huo uwezo wake umeisha? mbona joginho tumemtoa hapo ze bluzi msaada wake umeonekana, sasa huyo Rashid kwamba makali yake yanaweza kurudi?Nafikiri tumempata akiwa kashavuka kipindi chake cha ubora.
Sterling anaweza kuhama na kijiji huku analifuata box. Siyo scorer ila anaweza kuset up assist ila tangu aende chelsea na sasa Arsenal hafanyi hivyo
Msimu uliopita tulizidiwa points 2 na City ambazo tungeweza kuzipata na kuchukua kombe kwa kumfunga Spurs badala yake tukasuluhu.Labda pengine Chelsea alikutana mfumo tofauti au tuseme huo uwezo wake umeisha? mbona joginho tumemtoa hapo ze bluzi msaada wake umeonekana, sasa huyo Rashid kwamba makali yake yanaweza kurudi?
Arsenal hatuko hovyo bro, ni upepo tu, injuries n officiating, ni vitu vidogo sn kwenye mpira vinavyoweza kukufanya uonekane mbovu, wanaita Variance, sometimes we need to look at stats, Arsenal inaongoza ligi kwa mwaka huu, this calendar year, so we good.City kateleza huku Arsenal tuko hovyo pia.
Tumeanza slow msimu huu kutokana na majeruhi ambayo mpaka leo bado yanatuendesha.Arsenal hatuko hovyo bro, ni upepo tu, injuries n officiating, ni vitu vidogo sn kwenye mpira vinavyoweza kukufanya uonekane mbovu, wanaita Variance, sometimes we need to look at stats, Arsenal inaongoza ligi kwa mwaka huu, this calendar year, so we good.