Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kati ya Liverpool na city, kiukweli tuombee city azidi kupoteana. Liverpool tutajua wapi kwa kumdaka
By February 20 hivi Liverpool atatupisha pale juu
At that time saka atakua amerudi so tusiwe na majerui ya key players tu
Hiyo fixture naenda kupiga wote hao, na ninaemuombea azidi kupoteana ni huyo huyo city
Liverpool tutajua tunaenda kumdakia wapi. Hizi ni game ambazo liverpool ataacha points zaidi ya 10
Arsenal
City
Nyumbu
Chelsea
Spurs
Everton
Villa
Ukija upande wa arsenal, hizo timu nilizoziandika hapo juu, tunaenda kuchukua points 15+
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Endelea kujilisha upepo peke yako, ila kwa upande wetu Man Utd futa kabisa hizo false hope zako kua tutamfunga Liverpool.Hiyo fixture naenda kupiga wote hao, na ninaemuombea azidi kupoteana ni huyo huyo city
Liverpool tutajua tunaenda kumdakia wapi. Hizi ni game ambazo liverpool ataacha points zaidi ya 10
Arsenal
City
Nyumbu
Chelsea
Spurs
Everton
Villa
Ukija upande wa arsenal, hizo timu nilizoziandika hapo juu, tunaenda kuchukua points 15+
Umeona wapi nimesema tunachukua ubingwa πHapo ndio huwa nashindwa kujua Castr na mwenzake mkorea wanatumia hesabu gani ya kujipa ubingwa dhidi ya liverpool hii inayoshinda kwa madaha kabisa! Yaani mmeshindwa kutunza uongozi wa point 8 ndani ya mechi 8 leo mje mpindue tofauti ya point 12 dhidi ya timu ambayo inashinda kwa swaga kabisa!
Uzuri nafasi ya 14 na ya 3 wote hatutapata kombe lolote msimu huu.
70% arsenal anachukua ubingwaHapo ndio huwa nashindwa kujua Castr na mwenzake mkorea wanatumia hesabu gani ya kujipa ubingwa dhidi ya liverpool hii inayoshinda kwa madaha kabisa! Yaani mmeshindwa kutunza uongozi wa point 8 ndani ya mechi 8 leo mje mpindue tofauti ya point 12 dhidi ya timu ambayo inashinda kwa swaga kabisa!
Uzuri nafasi ya 14 na ya 3 wote hatutapata kombe lolote msimu huu.
Sasa kama vitu vyepesi kama formation mimi mkazi wa Gidamba naweza kuviona ila kocha hawezi ya nini kushabikia hizi timu zinazotia huruma?Wolves bado anatembelea patch ya new manager bounce na inamlipa.
Kesho nyumbu wana kazi na Newcastle. Kwa pace ya forwards za Newcastle Nyumbu wakiweka back 3 wanaliwa kichwa. I also believe Newcastle atatamani huu ushindi ili uboost confidence against next opponent
Wewe mkorea unanikumbusha ya hamis77 misimu miwili iliyopita.70% arsenal anachukua ubingwa
Liverpool ni 50/50 kuchukua ubingwa
City bado hasomeki
Misimu kadhaa nyuma tulikua tunapoteza momentum mwishoni mwa ligi, msimu huu ngoma inaenda kuwa tofauti. Mark my words
Ya msimu huu ina kitu, hatutoki kapa, ya misimu iliyopita Arteta alikuwa anajifanya anadharau makombe naona saizi kila eneo anaweka mkazo, japo kuna kuteleza lakini kwa muono wangu hatutoki kapa hata kama sio ligi
Imeenda hiyo.Chelsea pumzi yao ndio imeisha?
Bangi mbichi70% arsenal anachukua ubingwa
Liverpool ni 50/50 kuchukua ubingwa
City bado hasomeki
Misimu kadhaa nyuma tulikua tunapoteza momentum mwishoni mwa ligi, msimu huu ngoma inaenda kuwa tofauti. Mark my words
ππππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Endelea kujilisha upepo peke yako, ila kwa upande wetu Man Utd futa kabisa hizo false hope zako kua tutamfunga Liverpool.
Mimi napenda kuwahakikishia ndugu zangu wa Liverpool kua points zao 3 dhidi yetu ziko palepale wala wasiwe na hofu yoyote, na kikubwa zaidi hiyo jumapili ijayo tutafanya kila lililo ndani ya uwezo wetu Liverpool wapate magoli mengi ili kuwe na gape kubwa la GD kati yao na nyinyi.
Nani huyo?LB mwingine wa academy ameanza kutrain na timu ya wakubwa.
What is it with our team na LBs?