Unatumia pesa nyingi kwaajili ya LB mpaka unanunua wanaumia in a week kumbe LB wenu yupo academy.
Huyu Myles ni mzuri kushambulia, ana energy, physically yuko vizuri kulinganisha na umri ila ana utoto bado. Kama unamuamini Myles akulindie mashambulizi ila kumuamini Nwaneri akuanzishie mashambulizi ni ngumu.