Je,Arsenal vipi ??? Wao wana aminika Mkuu si ndio...........Huyu liva haaminiki
Eti,Bingwa asipokuwa Man city basi atakuwa Arsenal,Kirahisi rahisi tu, Mlikuwa mnaaminishana Upumbavu.Ni m
Ni suala la muda!
kocha mpya bado wapinzani hawajamsoma tactics zake.
Next round watakuwa na wakati mgumu.
Binafsi naamini liver ya klop ilikuwa inatisha kuliko hii ya kipara pesa.
Haaminiki as in anaweza kubadilika akashinda ingawa kaongozwa mapema.Je,Arsenal vipi ??? Wao wana aminika Mkuu si ndio............
Arsenal vs IpswichMchomokee wapi ,kwa Notingham ?
Usimtukane mamba kabla ujavuka mtoHziyech22 upo hoi uko ulipo
hawana majeruhi?They are very electric and focused huku hawana majeruhi. Ni mapema kuwaona hawastahili kuwepo walipo.
Ruben ni kocha mpya ila anagalagazwa hapa mwanzo tu
Si nyinyi ndiyo mlianza matusi 😅Usimtukane mamba kabla ujavuka mto
We jamaa sasa unataka ubishi. Kwani nimesema timu au kocha ni mbovu?hawana majeruhi?
Jota amekaa nje toka wa 9,
Alison kakaa nje miez 2+,
Ibou bado yuko nje,
Jones alikua nje,
Eliot ametoka majeruhi,
Robo kuna muda alikua majeruhi,
give credit where its due, liver wana timu imara sana kwa sasa, na kocha wao mpya amebadili vitu vichache sana kiasi kwamba wachezaji wame-copy haraka!
unamuona Amorin? amekuja majuzi tu na anataka timu icheze anavotaka yeye matokeo yake anakula vipigo daily, wakati Slot licha ya kukaa preseason na wachezaji hajabadili mfumo mzima uliokuwepo, hii ndio tofauti ya kocha mzuri na kocha wa kawaida!
liver kocha wao anacheza kulingana na strength za wachezaji wake, na kama umewahi kuangalia game hata 2 za fayenoord utagundua hii style wanayocheza liver sio ile style yake hasa aliyoitumia uholanzi
This will be done sooner than you thinkKama mnaona mna timu bora kuliko LIVERPOOL FC ni rahisi tu Msihangaike sana fanyeni mnavyojua mtutoe pale juu ya msimamo, Kama hamuwezi SHUT UP.
mnashushwa tu hapo kwani gape ni point ngapi?Kama mnaona mna timu bora kuliko LIVERPOOL FC ni rahisi tu Msihangaike sana fanyeni mnavyojua mtutoe pale juu ya msimamo, Kama hamuwezi SHUT UP.
🤣🤣Si nyinyi ndiyo mlianza matusi 😅
Watu tunawauliza jamani mpo kwenye title race? Mnatujibu kwa kutamba eti hampo huku mnaendelea kugawa dozi 😅
Twende kwenye draft kwanzaThis will be done sooner than you think
Nina point kidogoTwende kwenye draft kwanza
Nina point kidogo
1106Ngapi
Na mimi sijacheza siku nyingi, nina 11801106