Mjusi_kafir
JF-Expert Member
- Dec 4, 2023
- 299
- 518
Unasahau game ya juz wapiga kona walikua ni martinell na ode ...wakati wapigaji wa wakati wote ni Saka na Rice, kwaiyo tabu ipo pale pale.Na huyu ndo mpiga kona wetu sisi boko haramu football....sasa kona zetu atapiga nani au patey...ππ
Labda Tabu ya kutokupata makombeUnasahau game ya juz wapiga kona walikua ni martinell na ode ...wakati wapigaji wa wakati wote ni Saka na Rice, kwaiyo tabu ipo pale pale.
Tuombee yote heri kwakeTierney was lit halafu CF alikua Martinelli, Lacazette na Auba.
Height ya Laca na Jesus naona vinafanana. Bado hata kusprint na kucross haitamsumbua Jesus.
Also Tierney when all else fails hasiti kushuti akiwa mbali badala ya kutegemea tu crosses, sideway passes na back passes.
Nadhani tungecheza 4-4-2 diamond formation ingependeza, mido ya chini partey, CM's wawe merino na rice, kisha juu yao awepo Odegaard kama AM.Baada ya injury ya Saka hiki kikosi ndiyo cha kutafutia ushindi. Hata mid game mnaweza switch to 4 2 3 1
View attachment 3183723
Yeah. Hii formation pia ni nzuri mnakua flexible kwenye one twoNadhani tungecheza 4-4-2 diamond formation ingependeza, mido ya chini partey, CM's wawe merino na rice, kisha juu yao awepo Odegaard kama AM.
Safu ya ushambuliaji awepo jesus na martinelli au Trossard,. Hapa litapigwa mbungi mtu maji ataita mayi.
kocha karudi na 3 diamomd 3 kupata solution na inaleta ahueniNadhani tungecheza 4-4-2 diamond formation ingependeza, mido ya chini partey, CM's wawe merino na rice, kisha juu yao awepo Odegaard kama AM.
Safu ya ushambuliaji awepo jesus na martinelli au Trossard,. Hapa litapigwa mbungi mtu maji ataita mayi.
Mungu akufanyie wepesi katika harakati zakoIt was an honour to share this ride with y'all mpaka leo hii. Special shout out to Snitch la Old Trafford Flano na makenge mawili yasiyo na kwao Mbaga Jr Mkohoti na kenge moja linaloibuka na kupotea Kimbukiko .
Yule jamaa wa newscastle, jina lake hua linanitoka.
Mnaosherehekea hii sikukuu Marry Xmas.
Msiosherehekea kesho tuna mechi ya mapema ya saa 3:30 kuona ikiwa humbleness continues au la. Kenge watacheza na Fulham, Fulham katika games tano zilizopita wameshinda moja nne ni suluhu miongoni mwa waliosuluhu nao ni Arsenal.
Kwa ambao tupo vijijini hata hakuna sehemu ya kujifanya unakula maisha tukomae na kutafuta pesa nyingi ili angalau mwakani tuwe na options
Merry x mass to yu all, imkiwa mnakula xmass nawashauri endeleeni kumuwaza sana Nottingham Forest kuliko hao akina chelsea na City, mkipgwa tu akashinda nafasi yenu anaichukua. Kazeni! Hii Fezi isije ikawa ngumu kuingia top4.It was an honour to share this ride with y'all mpaka leo hii. Special shout out to Snitch la Old Trafford Flano na makenge mawili yasiyo na kwao Mbaga Jr Mkohoti na kenge moja linaloibuka na kupotea Kimbukiko .
Yule jamaa wa newscastle, jina lake hua linanitoka.
Mnaosherehekea hii sikukuu Marry Xmas.
Msiosherehekea kesho tuna mechi ya mapema ya saa 3:30 kuona ikiwa humbleness continues au la. Kenge watacheza na Fulham, Fulham katika games tano zilizopita wameshinda moja nne ni suluhu miongoni mwa waliosuluhu nao ni Arsenal.
Kwa ambao tupo vijijini hata hakuna sehemu ya kujifanya unakula maisha tukomae na kutafuta pesa nyingi ili angalau mwakani tuwe na options
It was an honour to share this ride with y'all mpaka leo hii. Special shout out to Snitch la Old Trafford Flano na makenge mawili yasiyo na kwao Mbaga Jr Mkohoti na kenge moja linaloibuka na kupotea Kimbukiko .
Yule jamaa wa newscastle, jina lake hua linanitoka.
Mnaosherehekea hii sikukuu Marry Xmas.
Msiosherehekea kesho tuna mechi ya mapema ya saa 3:30 kuona ikiwa humbleness continues au la. Kenge watacheza na Fulham, Fulham katika games tano zilizopita wameshinda moja nne ni suluhu miongoni mwa waliosuluhu nao ni Arsenal.
Kwa ambao tupo vijijini hata hakuna sehemu ya kujifanya unakula maisha tukomae na kutafuta pesa nyingi ili angalau mwakani tuwe na options
City kateleza huku Arsenal tuko hovyo pia.Mery x mass , sikukuu njema kwa false hopers wote around the world.
Jitahidini basi hata mwaka huu mlibebe kombe miaka inazidi kwenda tu zimebaki siku kadhaaa tu iongezeke without epl trophy
Man city ndo huyo kashateleza lakini bado kombe mtalikosa [emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kombe gani hawa Kasongo FC wabebe?Mery x mass , sikukuu njema kwa false hopers wote around the world.
Jitahidini basi hata mwaka huu mlibebe kombe miaka inazidi kwenda tu zimebaki siku kadhaaa tu iongezeke without epl trophy
Man city ndo huyo kashateleza lakini bado kombe mtalikosa [emoji3]
Merry Christmas & happy boxing day broo.It was an honour to share this ride with y'all mpaka leo hii. Special shout out to Snitch la Old Trafford Flano na makenge mawili yasiyo na kwao Mbaga Jr Mkohoti na kenge moja linaloibuka na kupotea Kimbukiko .
Yule jamaa wa newscastle, jina lake hua linanitoka.
Mnaosherehekea hii sikukuu Marry Xmas.
Msiosherehekea kesho tuna mechi ya mapema ya saa 3:30 kuona ikiwa humbleness continues au la. Kenge watacheza na Fulham, Fulham katika games tano zilizopita wameshinda moja nne ni suluhu miongoni mwa waliosuluhu nao ni Arsenal.
Kwa ambao tupo vijijini hata hakuna sehemu ya kujifanya unakula maisha tukomae na kutafuta pesa nyingi ili angalau mwakani tuwe na options
Tutamnunua Anthony the Spinning MadnessMerry Christmas & happy boxing day broo.
Kumbe hizi makeke zote za G.Jesus ni kwa ajili ya kudhimisha mwezi wake wa kuzaliwa, ikiingia January tu anarudi kwenye default mode. View attachment 3185365