Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna uhakika gani kuwa mkofanya usajili mtapata ushindi.
 
Leo tuna game ya ligi na Crystal palace. Palace walituwekea their best team, sisi tukaweka wachezaji kadhaa ambao walitoka majeruhi na wengine siyo regular kwa first XI I have a feeling we can still win with the same forward given kwamba Partey abaki kati.
 
Tunapaswa kushinda tu. Tulishindwa kwa Fulham ila huyu itabidi tu tumpige.
 
Partey atapangwa RB na genius wetu.
 
Hali ni mbaya. Aston villa wako hovyo kipindi hichi ila wamewafunga C115y, same na united

Sijui nisemeje. Kwanza, Pep hajazoea vipigo vingi ndani ya muda mchache kama hivi. Pili, C115y fans wengi walisasahau enzi zile za 90s na 00s ambazo vipigo vilikuwa kawaida kwao.

Na, sisi isingekuwa ile red card, huenda tungewashinda ile mechi na sisi tuliwakuta wakiwa bado wamoto.
 
Kitu cha kuchekesha zaidi ArsaniNyau wanaojiona wako vizuri na kuwacheka Manshit lakini wamepishana points3 tu.View attachment 3181775
Flano bado haupo kwenye level ya kuingizwa kwenye convo za timu zilizo serious. Toka nafasi ya 13 uje tuongee.

Hizo timu zinazochekelea kuifunga C115y ni moja tu imeifunga na Arsenal zingine hapo zimesuluhu na Arsenal na zingine zilivyofungwa zikaanza kulalamika kwanini zinaonewa.
 
Kilio changu jesus aanze kama striker, sawa gabriel kaanza, lakini arteta kamtafutia havertz pa 😂kucheza

Kai hana mpira wa kumuweka benchi merino ama declan mchele.
Kuna wakati Arteta anafanya mechi inakuwa ngumu kutokana na mahaba yake.. Kai Havertz ahead of Declan Rice ni Big No.. Kwa style hii tutasubiri sana.. Hata Kieran Tierney sioni sababu za kutoanza kwenye hii mechi.. Ni viburi tu vya makocha wa Kihispania
 
Ataharibu kwa kiburi chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…