Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mje kujifunza mpira, mnazuiwa na Everton? Sisi tulimpiga 4. Pambaf
 
Baada ya kutumia 1.2 Billion pounds za usajili na timu ipo conference league shabiki wake anakuja kutishia watu
Chelsea yupo Kwenye Conference Ligi anawafundisha watoto mpira.

Chelsea yupo nafasi ya pili kwenye ligi ya uingereza.
Chelsea ana makombe 6 za ligi ya uingereza
Chelsea ana makombe 2 za Ligi ya mabigwa
Chelsea ana makombe 2 za Club super Cup
Chelsea ana makombe 2 za Europa Champion Leagi
Chelsea ni timu kubwa ndiyo maana inatumia 1.2b plus kwenye usajili.


Arsenal ni anadog kwa Chelsea.

Arsenal ana community shield 15.

Arsenal ana kombe la ligi 1 tangu dunia iumbwe
Arsenal ana kombe la ligi ya mabigwa 0 tangu dunia iumbwe
Arsenala ana kombe la Europa 0 tangu dunia iumbwe
Arsenal ana kombe la Club super Cup 0 tangu dunia iumbwe
Arsenal ni title contender misimu 7 mfululizo

Arsenal anatumia 100 paund milioni kusajili wachezaji. Ama kweli hii ni underdog team
 
Arsenal ana kombe moja la ligi tangu dunia iumbwe?

Update knowledge yako ya mpira kabla hujasumbua watu kusoma unachoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…