Spurs, Brighton na Arsenyau hizi timu bado zina mentality ya mid table team, hata msimu uwaendee vizuri kiasi gani lakini lazima watawadiscourage mashabiki wao, na mwisho wa msimu wanatoka mikono mitupu.
Ni mara 100 ushabikie N.Forest au Leicester City kuliko kushabikia timu tajwa hapo juu ambazo zote ni Fungu la kukosa Fc.