Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hatuwezi kuruhusu kupoteza mechi hii, haiwezekani kabisa! muda bado upo lakini Djorou na Santos wanaonekana hawajiamini hata kidogo.
 
Wachezaji wetu hawataki kabisa kutumia nguvuza ziada ku-protect mpila, wao wakiguswa kidogo tu wanaachia.
 
jamani nimepoteza kware wangu.... naskia anapena kuishi kama bundi!!! hutua kwenye misiba tu...ana matatizo kidogo ya ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…