Arsenal hii ni yamoto, alafu arsenal ndio timu inaongoza kufanyiwa unfairHii dhulma ya wazi wanayofanyiwa hawa wagonga nyundo na refa tutawalipia wiki ijayo, Arsenyo bila ya kubebwa na marefa ni nyepesi kama bua.
lakini Kai vs Jesus bora KaiAlichofanya Jesus hichi cha dakika ya 87 Kai hatokuja kufanya
Ni baada ya kurudi Kwa Ødegaard, pamoja na weakness zake Kwa baadhi ya mechiGames 3 magoli 13
Na hili ndo ugonjwa uliowaondoa the likes of nelson,Emille smith na wengine.Starting 11 yetu wakitoka 3 wakiingizwa 3 wa benchi timu inacheza kama hua hawawi wote mazoezini.
Hii inasababisha mchezaji wa starting 11 akipata majeraha basi ushindi kwetu unakua changamoto.
Angalau eneo la 6 wanajitahidi kuziba gaps namaanisha Partey na Jorginho. Lakini Odegaard kawa majeruhi na timu inastruggle na nje hakuna mbadala, on paper Sterling anatakiwa aweze kufanya kinachofanywa na Odegaard lakini hapana, kenge walikurupuka na sisi tuliiwahi late signing tukiamini tutabenefit na uzoefu wake.
Mpaka sasa amebenefit Nwaneri kwa kupata goli la kwanza la ligi, kitu ambacho Antony wa nyumbu aliyenunuliwa kwa 80M hana.
Mkuu tafadhali, usiwatishe jamaaIla nyumbu kaangukia wakati mbaya, first eleven imekamilika, tuna momentum, tuna confidence, game inachezwa Emirates, anaweza kula mkono km wenzie.