Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi 2 za nyuma, kipindi cha pili hatukuwa vyema kama kipindi cha kwanza, ngoja tuone kama ni ugonjwa ama ilitokea tu.
 
Hahahaha
Uzuri huu msalaba wa jumuiya kila kaya utapita. TUNAKUJA
Hii dhulma ya wazi wanayofanyiwa hawa wagonga nyundo na refa tutawalipia wiki ijayo, Arsenyo bila ya kubebwa na marefa ni nyepesi kuliko bua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…