Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Utulivu wake, anavyo receive mali, anavyoachia.. Zile turn zake akipokea mali toka kwa kipa, wakati mwingine nachelewa kujibu msg za mama watoto. 😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kombe gani atakalochukua Arsenyau msimu huu?
Timu imeshindwa kuchukua kombe 2022/2023 wakati imeongoza ligi karibu msimu mzima (siku 258) halafu uje kujipea matumaini ya kuchukua kombe msimu huu ambao timu limepoteana hata top4 halitoboi.
Ndio maana takwimu zinaonyesha mashabiki wa Arsenyo wanaongoza kwenye suicide attempts na wengi wao ni walevi kupindukia.
 
🤣🤣🤣🤣🤣Mlevi mwenyewe bana.

Kwani Carabao siyo kombe? and trust me EPL race isn't done yet
 
Wadau Huwa kuna kitu linanishangaza japo sehemu ya majibu Huwa nakuwa nayo.
Hivi ni kwanini Huwa tunasita sana kuchukua wale toptop world strikers?

Yaani hata kama tuna pesa bado utaona tunaenda kwa mtu ambaye ni kama plan B or C na wakati mwingine unakuta mchezaji mwenye attributes za daraja A anapatikana kwa affordable price.

Mfano kwa sasa soko Lina watu hawa
V.gyokeres
A.Isack
O.watkins
D .vilahovic
B.sesko

Na kati ya hao ambaye Yuko on fire ni v.gyokeres, ila badala timu yetu imuangalie ili alete immediate effect unaona tunaanza kudili na ISACK .

Najua kuna mtu atasema maswala ya scouting, tactical and technical qualities, Epl experience,maamuzi ya bench la ufundi nk.

Ila kwanini uwe tayari kutoa £120m kwa ISACK na usitoe hiyo kwa mtu kama gyokeres.?
Jamaa ana Ile instinct ya strikers.


Natamani huyu mnyama toka ligi ya ureno aje japo sijasahau mambo ya Darwin Nunez na wengine kibao waliotoka farmers league kwa bei kubwa na wakaja kuflop tu huku.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mlevi mwenyewe bana.

Kwani Carabao siyo kombe? and trust me EPL race isn't done yet
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Edo Kumwembwe mwenyewe hua anasema alianza kua mlevi baada ya kuanza kushabikia Arsenyau, anadai pombe pekee ndio inayompea faraja kila anapoumizwa na matokeo ya timu yake, hivyo kuna kamstari kembamba sana kanakoitenganisha Arsenyo na ulevi.
Wale mashabiki wa Arsenyo wasiotumia kilevi hua wanaishia kujitundika.
Hata hapa kitaani kwetu walevi mbwa wote ni mashabiki wa Arsenyau.
 
Najua furaha yako ipo arsenal, endelea kuenjoy
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…