Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ninyi Kenge maji (false hopers ) mnaona kaka zenu tunavyotembeza makofi na knuckles humu Epl ?
Ninyi mnashindwa nini mpaka mnatia huruma Kenge ninyi ?
 
Ninyi Kenge maji (false hopers ) mnaona kaka zenu Chelsea the blues kings WA London tunavyotembeza makofi na knuckles Kwa hawa underdogs humu Epl ?
Ninyi mnashindwa nini mpaka mnatia huruma Kenge ninyi ?
 
Hawa chelsea, liva na city kama hawajatufunga hizi first leg second leg watatoboa kweli?
Yaani Brighton ,Notingham ,wolves wanakufumua ngumi za chembe kidevu ndio ujidanganye kuja kujilinganisha na sisi wewe na hilo timu lenu la walevi ?
Hivi unajielewa kweli wewe kijana ?
 
Kuna mtu humu uwa analalamika aanze JesusLeo nadhan atakuwa kapata majibu
Jesus hajaanza PL mechi for god knows how long, unataka kumlinganisha na Kai aliepewa trust na muda ku adapt?

Of coarse during the game he had his moments huwezi kusema kaharibu, unaona kabisa passing game yake ni nzuri and how he connects with his teammates (like that move from the flank with Ødegaard).
 
Partey, namkubali sana jamaa. Huwa natamani tubebe kombe tukiwa naye.
Same here...., the guy is so humble, so calm, hardworking and intelligent...

Kuna kipindi Arteta anajitiaga ujeuri kumwacha mwishowe anamrudia mwenyewe...

Nahisi mwisho wa msimu huu ataondoka.., tena free.. kombe tutakalochukua this season itakuwa ndo la kumuaga.
 
Kafanya mengi tu kai hafanyi..

Kipindi cha kwanza odergaard amefanya vitu vitamu sana, kipindi cha pili kakosea saana, lakini haiwezi kusemwa, alichokosea fundi odergaard kipindi cha pili, jesus vipindi vyote viwili hajakosea kama vile.

Hata Trossard kakosea pia, saka kafanya makosa.

Rythm iliyopatikana pale mbele leo ni burudani tosha, jesus akiendelea kucheza, inawezekana hata martineli atajipata.
 
Ni mtamu zaidi ya kisheti, anajua sana boli,
Enzi zangu nikiamua kucheza namba 6 basi nilikuwa hivi..
Naenjoy mnoo kumtizma huyu muhuni
Kilichonifanya nimkubali zaidi ni alipoondoka ATM ambayo wakati huo ilikuwa bora kuliko sisi, na akasema siku zote alikuwa na ndoto ya kuchezea Arsenal. Alinipata pale hadi leo, namkubali kabla hajaanza kuichezea klabu yetu.

Halafu alivyokuja tu, wenzie wakatwaa kombe! Nilijisikia vibaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…