To be honest I'm starting to doubt the gaffer tactics. Hii game ya leo Chelsea hawakuwa hatari wala organized kihovyo ila tumepoteza point 3 kizembe kabisa.
To be honest I'm starting to doubt the gaffer tactics. Hii game ya leo Chelsea hawakuwa hatari wala organized kihovyo ila tumepoteza point 3 kizembe kabisa.
Siwezi kuwakimbia Arsenyetoz ninyi ni ndugu zetu ila mnamaringo sana na kidomo domo ,leo tumeona tuwahurumie tu ,maana huyu Arteta wenu angezimia hapo uwanjani ,kaanza kukonda naona kichwa tu ,kimwili kinazidi kuwa mifupa tu
Mtu anakwambia fukuzeni kocha, yani analopoka tu kama katoka chooni, wakati kweye hii table tumekutana almost timu saba mechi nyingi tukiwa away, huku red card na injury zikituandama
Mtu anakwambia fukuzeni kocha, yani analopoka tu kama katoka chooni, wakati kweye hii table tumekutana almost timu saba mechi nyingi tukiwa away, huku red card na injury zikituandamaView attachment 3148994