Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kai harverts uefa champions league winner akifunga goli muhimu na kuwapa Blues champions league ya pili.Nimemaliza
 
We nyumbu sio? Kama ni nyumbu huwezi kukubali anachosema mwamba ila tu nikuuize....
Kwa jinsi arsenal walivyocheza jana,mara ya mwisho nyumbu walicheza ilikuwa lini
Kupata "povu" jingine kama hili bonyeza neno "INTER"
 
Ha haaa
 

Attachments

  • hartrow_b0a7c5d6e7004ae8a90f287fc60bc856.mp4
    1.1 MB
Wazee tuongezeni angalau pesa kidogo kwa Harvetz mashine ya kazi. Acheni ubahili basi.
 
Aser8 ikicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowana wakitingisha wowowoo huku wakisema BALTASAR ENGONGA chukua yote yako.
 
Ninyi vibaka WA asenyau tutawaua kesho , kesho hicho kikundi chenu cha wanenguaji wa sindimba msikilete uwanjani
 
Kitu nimegundua ushabiki unanoga kama timu yako inafanya vizuri kwenye mashindano hasa epl yenyewe. Man utd tulipoteana sana, Liverpool kidhungu kiliisha na sasa hawa kenge waliodhani wana timu wamepoteana
 
What a terrible turn of events at Falmer stadium!!

Ooooh wait, we love this terrible turn of events at Falmer stadium!!
Another turn of events at Amex stadium.

Ooooh wait, we love this terrible turn of events at Amex stadium!!
 
Hizi dakika 9 za nyongeza zimetoka wapi sijui. Ni lazima Man City wachomoe dakika za mwisho?
 
Will we take a step into a right direction kesho?

Arteta amejua kwamba tunahitaji electric play plan na Kai anaiua hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…