Last summer transfer business at our club was more of a gamble. Mnaacha wachezaji wazuri waliopo sokoni, mnachukua rejects, eg Sterling. Olisse alikuwa sokoni muda mrefu. Huku kwingine kuna Lookman. Midfield ya Merino haijachangamkaBado siamini, coming close to EPL tittle kwa miaka miwili in row, na response ya next season ni KUMSAJILI STERLING!!!!!!!!
.We need a little patience with ARTETA..., Soon we will be winning trophies [emoji123][emoji123]
Kuna muda huwa comment kama hizi zinakuwazisha hivi huyu mtu ni wa kawaida kweli??We need a little patience with ARTETA..., Soon we will be winning trophies πͺπͺ
ππππ Hakuna timu itafanikiwa bila kusajili wazee... Arteta hata angekuwaje bila kupewa wachezaji wazuri ni changamotoKuna muda huwa comment kama hizi zinakuwazisha hivi huyu mtu ni wa kawaida kweli??
Utafikiri Arteta ndio kwanza ana miezi miwili Arsenal.
Amiiin Amiiin nawaambia, mtamfukuza kocha wenu mpya baada ya kuwatia hasara na kuboronga... Ila Terta ball bado litapaa angani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tunampa misimu yake miwili kama hana kombe la kueleweka tunamtimua.Amiiin Amiiin nawaambia, mtamfukuza kocha wenu mpya baada ya kuwatia hasara na kuboronga... Ila Terta ball bado litapaa angani
Kutemewa kohozi double double sio masikhara aisee...Miezi kadhaa na Wiki chache nyuma unakuwa kila ukipita mitaani unakutana na watu kibao wamevaa jezi za arsenyeto na kwenye mabanda umiza wamejazana wakidanganyana km nyinyi humu na dark arts zenu kadri siku zinavyozidi kwenda naona spidi ya kuvaa jezi zetu za arsenyeto zimepungua kwani tatizo linaweza kuwa nini wakuu au ndo back to default settings ππππ
We nyumbu sio? Kama ni nyumbu huwezi kukubali anachosema mwamba ila tu nikuuize....Kupata akili nyingine za kijinga kama hiZi bonyeza neno 'INTER MILAN'
Tuacheni na phase zetu π€£π€£[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tunampa misimu yake miwili kama hana kombe la kueleweka tunamtimua.
MUFC sio mid table team tufuge ujinga misimu 6 kwa kudanganyana trust the process na phase zisizo na mwisho. View attachment 3146094
Kai harverts uefa champions league winner akifunga goli muhimu na kuwapa Blues champions league ya pili.NimemalizaJana nimeangalia timu kwa utulivu mkubwa.
Pattern zilikuwa sawa
Structure almost zilikuwa sawa.
Ila tulikosa quality baadhi ya maeneo
Kwakweli with my whole heart nasema Kai hatufai kama tunataka makombe ya kueleweka.
Movements zake akiwa na mpira ni za kawaida mno na mbaya zaidi hana Ile instinct ya mshambuliaji.
Yeye ni back pass na kukimbiakimbia.