Wachawi wanaanzia umri wa miaka 50,we na ujana wote huu unaanza kuwangaLEO HAMCHOMOKI.
Flano anafanya kazi maktaba ya taifa nini? Maana jamaa hapotezi data kabisa.
Sema chochote, siku yoyote ile, halafu subiri miaka hata kumi, uone kama jamaa hatakuletea hiyo data.
Nianzie hapa: Link ya Sanka na white huwa ipo active Sana na yenye kuleta positive impact kwa 90% kwa jinsi walivyozoeana
Overlap za white ndio kitu tunakimiss Sana
Na odegard akirudi ndio kabisa ubora wa Saka utazidi kuonekana
Merino yupo upande wa martineli, Kama xhaka alivyokua anacheza na martineli ndio Sasa Merino aifanye hiyo kazi
Partey in the middle. Octopus partey
Ukuta upo vizuri as usual, golini yupo kipa Bora epl
Trossad ni mtu sana na kai ni mtu na nusuView attachment 3145589
Kipa bora epl washamdungua hukoNianzie hapa: Link ya Sanka na white huwa ipo active Sana na yenye kuleta positive impact kwa 90% kwa jinsi walivyozoeana
Overlap za white ndio kitu tunakimiss Sana
Na odegard akirudi ndio kabisa ubora wa Saka utazidi kuonekana
Merino yupo upande wa martineli, Kama xhaka alivyokua anacheza na martineli ndio Sasa Merino aifanye hiyo kazi
Partey in the middle. Octopus partey
Ukuta upo vizuri as usual, golini yupo kipa Bora epl
Trossad ni mtu sana na kai ni mtu na nusuView attachment 3145589
Enhee katunguliwa na goli la aina gani??Kipa bora epl washamdungua huko
Mpunga aliotajiwa anapoenda hata wewe usingekataa, labda hayo yamechangia ila pesa atayopokea ni mara tatu ya sasaInawezekana Edu anataka kuondoka Arsenal kwa sababu haelewani na Arteta, especially kuhusu usajili wa Merino. Another reason, could be, he doesn't see a promising future at the club