City nini kimemkumba?
Gyokeres anaweza akaenda united sasa
Anti-Man U wote walitaka Eric Ten Hug asiondoke Man U ili waendelee kuteseka....
Ila kwa sasa, Anti-Arsenal wote wanataka Arteta aondoke eti kwa performance dip ya muda mfupi
Tunajua... Hakuna shabiki la Man U linataka Arsenal ifanye maamuzi ya kupata raha.
Ni hiviii, Teta bado yupo, na Teta ball mtaendelee kukumbana nalo.
Mkuu unayafokos makabiri vizuri😁.
Naona risiti za kutoshaTeta ball burudani kwa wote, hawa hapa mashabiki lialia wa Arsenyau jinsi wanavyofurahia Teta ballView attachment 3144988View attachment 3144990View attachment 3144991View attachment 3144993View attachment 3144994View attachment 3144995View attachment 3144996View attachment 3144997View attachment 3144998View attachment 3144999
Tunammudu huyoo,wala hatushtuiMkuu wew na arsenal mkae chini mmalize tofauti zenu😃🙌
Teta anaakili sana, anaona vitu tusivyoona mashabiki.
Hawa wajamaa itakuwa wanakula sana nyetonimesikia rice kaumia nahajasafiri kabisa na team, sijui tatizo ni nini majeruhi yanatuandama sana
Mkuu unayafokos makabiri vizuri.
Teta anaakili sana, anaona vitu tusivyoona mashabiki.
Kwangu mimi Teta bado fundi sana..., amefuta uteja wa Arsenal kwa timu nyingi mbofu mbofu....
Ndo maana hamumpendi
Hawa wajamaa itakuwa wanakula sana nyeto
Nini injury za kisenge hivi mara kwa mara
Akipona huyu anakuja huyu, wanataka tukonde kwa mawazo au...
Mambo niaje mzee baba, unatukandia Sana mzeeHili jukwaa limepitia mambo mengi sana aiseeee. View attachment 3144255View attachment 3144256View attachment 3144257
Mambo niaje mzee baba, unatukandia Sana mzee
Inaonekana unafurahia Sana kutuma risiti zetu, tukutane mwakani mayShwari kabisa mzee baba, sio kuwakandia mkuu, mimi naweka tu kumbukumbu sawa maana binaadamu tumeumbiwa kusahau.
Vipi lakini mambo yanaenda?
Ndugu yako arsenal2004 simuoni kabisa humu au na yeye ameshatupa kijiti na kuamua kukimbilia uhamishoni pamoja na Chambuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi?
Inaonekana unafurahia Sana kutuma risiti zetu, tukutane mwakani may
Haina shida hizo risiti wewe zitunze, ila tukutane mwakani maynimecheka mpaka nahisi mbavu zinauma.
Ogopa sana kitu inaitwa teknolojia, yaani hapa ninastock ya zaidi ya 2 terabyte(TB) ya risiti zenu na bado naendelea kukusanya risiti nyingine.
Ila mashabiki wa Arsenyau mnafurahisha sana, siwezi kwenda kulipia 50,000 kutazama Cheka Tu wakati humu kuna comedy za bure
Kweli kabisa Tetea ana akili sana, anauwezo mkubwa wa kuona vitu mashabiki wa Arsenyau wasivyoona ila amekosa tu akili ya kuyaona makombeView attachment 3145103