Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Fridge la Arsenyau sasa hivi haligandishi, zile kelele za kuomba makoti kileleni kuna baridi tutakua hatuzisikii tena.
Ila hawa misukule wanachekesha sana, yaani wameishia kuteseka na baridi karibu msimu mzima halafu kombe wamebeba wengine
 
Hahaaa
Bundi?hana kipya kwetu.nyie bundi mnamchukulia kama ndege wa kichawi ila kwetu kawaida.
Nakuhakikishia tu,tumefungwa kama inavyotokea kwa wengine kufungwa.

Tupo na hatuna presha kabisa.
 
Pale juu tutakaa na tutakaa mida ambayo hakuna atakayetushusha,tutatembeza dozi kwa Kila kiumbe atayepita mbele yetu
 
Pale juu tutakaa na tutakaa mida ambayo hakuna atakayetushusha,tutatembeza dozi kwa Kila kiumbe atayepita mbele yetu
Shauri yako Masingeli nae alikua amejiaminisha na kuwaaminisha chawa wake ujinga wa hivyohivyo, halafu mwisho wa siku kawakimbia hataki hata kutia pua yake humu, sasa hivi kahamia kwenye jukwaa la mabingwa tunashinda nae kule kutwa nzima, hapa anapaona pamoto
 
Hizi ni kumbukizi tu jamani maana binaadamu hua tumeumbiwa kusahau.
Hapa Lisupa computer lilifeli vibaya mno, yaani liliwatabiria Arsenyo kucheza fainali na kuchukua ubingwa wa Uefa lakini likasahau kuwatabiria kua robo fainali mnaenda kukutana na Bayern Munich ambae mara ya mwisho aliwachomoa kwenye haya mashindano kwa kuwagonga goli 10

Sijui Masingeli alishindwaje kuusanukia huu mtego akaingia kichwakichwa kusambaza propaganda za Lisupa Computer

Hili jukwaa lilipitia mambo mazito sana.
 
Hizi ni ndoto za arinacha 🤣🤣🤣
 
Shukrani na pongezi za dhati kutoka kwetu kwenda kwa Edu. Tunamtakia kila la heri huko aendako. Tetesi zinasema kwa Marinakis Group anaenda kula mara tatu ya mshahara wa Arsenal. Hili ni jambo zuri sana kwake na linaonyesha jamaa ni muhimu kiasi gani.

Pia siyo mbaya kuwa anenda kwa rafiki zetu Nottingham Forest.

Fun Fact: Je mnajua kwa nini jezi kuu ya nyumbani ya Arsenal ni nyekundu na nyeupe? Jibu ni kuwa enzi hizo (mwaka 1886) timu yetu inaanza anza maisha, haikuwa na fedha ya kununua jezi, hivyo tukawaomba marafiki zetu Nottingham Forest watuazime jezi, nao wakatutumia set moja ya jezi zao za kaptula nyeupe na flana nyekundu, na kuanzia hapo, kwa heshima ya Forest, tukaamua hizo rangi ziwe zetu pia.
 
Ila false hopers WA Arsenyetoz mna maisha magumu mno na mpewe tuzo ya roho ngumu ,
Yaani kila msimu ninyi ni kujipa hopes hewa ,yaani mnajilisha upepo
Aisee naanza kuamini ule usemi wa "ukiweza kuwa mashabiki wa Arsenyetoz hakuna kitu utashindwa kuvumilia maishani "
 
Anti-Man U wote walitaka Eric Ten Hug asiondoke Man U ili waendelee kuteseka....


Ila kwa sasa, Anti-Arsenal wote wanataka Arteta aondoke eti kwa performance dip ya muda mfupi 😂😂

Tunajua... Hakuna shabiki la Man U linataka Arsenal ifanye maamuzi ya kupata raha.

Ni hiviii, Teta bado yupo, na Teta ball mtaendelee kukumbana nalo.
 
Nasubiri kwa hamu kuona huyo director anayekuja na nataka kuona approach yake kwenye usajili.

Tunachukua muda mrefu mno kwenye bargaining
 
Wachawi mnaotuwangia tumieni vizuri muda huu kutunanga na msije sema hatukuwambia.
Kuna muda mtashindwa hata kufungua huu Uzi na sisi Wala hatutakuwa na shobo na nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…