Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mbona imetokea ghafla sana?

Au ameona kuna anguko linakuja akaamua kujihami
Tokea msimu uliopita Edu alikua anasisitiza watafute kocha wa kueleweka lakini baadhi ya viongozi na wamiliki wa timu wanampinga.
Jamaa anatumia nguvu nyingi ili timu ipate mafanikio na kubeba makombe ya maana, lakini anaona kwa kuendelea kumuamini na kumtegemea huyo kocha wenu Tetea juhudi zote Edu anazofanya ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Ameona bora akapambanie ndoto zake sehemu nyingine, anaimani kama walivyotimiza ndoto zao kina Xhaka, Fabregas, Van Persie, Chamberlain na wengineo na yeye bado ana nafasi ya kutimiza ndoto zake nje ya Arsenyau.
 
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Arsenal director Edu will join Marinakis group, coordinating Nottingham Forest, Olympiacos and potential future clubs ✨🇧🇷

After decision to leave Arsenal revealed earlier today, Edu’s now set to complete move to Marinakis group.

Ambitious project at Nottingham Forest, Olympiacos, more clubs to follow in future with Edu as key figure.

Fantastic job at Arsenal for several years, crucial for Arteta in support and managed to sign top players.

Edu also won the Golden Boy Award as Best Director.
 
Hii phase vipi?? Maana Edu na Arteta ndo walikua ma kampeni manager wa PHASE FOOTBALL, walipewa false hope kuwa phase ndo kwanza zinaanza.
Edu anaondoka phase sijui ya ngap hii hana kombe 😂
Kila mmoja ataondoka bila kombe , hivi jamii check si waacheki hii arsenal jina lake halisi sio FALSE HOPE FC kweli?
 
Mambo ya Netflix yameshamchosha tayari, tokea msimu uliopita alitoa ushauri kwenye bodi waachane na Tetea watafute kocha wa kueleweka lakini mmiliki wa timu anapinga.
Juzi baada ya kugongwa na Newcastle Edo alimind vibaya mno walizozana sana na kocha, bado nusu Edo amlambe makofi tetea.
Jamaa kaona bora aende akafanye kazi na Nottingham Forest, timu yenye walau inatambulika na Uefa kuliko kuendelea kutizama episode za Netflix zisizo na mwisho.
Za chinichini Edo anadai kua tokea Tetea alivyoanzisha mahusiano na mtoto wa boss Josh Kroenke amekua na kibri sana, Josh Kroenke ndio mtoto pekee wa kiume wa mzee Stan Kroenke, na ndie msimamizi wa makampuni na miradi yote ya baba yake, sasa Edo mambo ya kugombana na mke mdogo wa boss ameona yanaweza yakamletea matatizo halafu mwisho wa siku akaishia jela.
 
Mkuu wew na arsenal mkae chini mmalize tofauti zenu😃🙌
 

Huyu kocha wetu mbona anawatoa roho sana 😂😂😂, huyu haendi popote
 
Kumbe ni chakula y boss eeh?
 
Swala la kuondoka edu Gaspar kama director linaleta maswali mengi mno ila muhimu ni haya
1.Je ni sababu za kimpira TU?
2.je ni maslahi kwamba kapata malisho Bora kuliko ya arsenal.
3.Au ni self evaluation and reflection
4.Ni pressure ya uongozi na mashabiki kuhusu matarajio na kufikiwa kwa malengo .
5.Ni leadership fatigue kwamba amechoka na anataka kujaribu kitu kipya?.
6.Je kuna mahusiano yenye afya kati yake na head coach kuhusu muelekeo wa team nje ya tabasamu yunaloliona mbele ya camera.?


Kwangu edu nitamheshimu kwanamna alivyoshiriki kwenye transformation ya team.
Weldone Mr arsenal,tutakukumbuka.
 
kuanzia 1 mpaka 5 yote ni majibu lakini 6 ndio jibu sahihi.
Juzi chupuchupu Edu amtie makofi Tetea, unaambiwa siku Tetea akiamkia kwenye Villa la Josh Kreonke hua anamfyonya kila anaepishana nae hapo Sobha Realty Training Centre na hakuna wa kumfanya kitu.
 
Daah naona maiti za man u zinachekelea zinapoona ambulance zilizobeba wagonjwa.
Hahaha mkuu Flano kwasasa sisi hatubishani na nyie.
Ila Newcastle wapuuzi sana wale
 
Daah naona maiti za man u zinachekelea zinapoona ambulance zilizobeba wagonjwa.
Hahaha mkuu Flano kwasasa sisi hatubishani na nyie.
Ila Newcastle wapuuzi sana wale
Sio Newcastle peke yao, Bundi ndio ameshatua rasmi nyumbani kwenu. Sasa hivi kila timu mtayokutana nayo mtakua mnawaita wapuuzi, wiki ijayo ni zamu ya Chelsea nao mtawaita wapuuzi baada ya kuwagonga.
Msimu huu naiona Man Utd inamaliza ligi ikiwa juu ya Arsenyau tena kwa points nyingi.
Leicester City ilikua ni one season wonder lakini hawakufanya makosa wakabeba Epl, Arsenyau imekua na two seasons wonder with nothing na ndio tayari mmesharudi rasmi kwenye default mode.
Masingeli sio mjinga kulikimbia hili jukwaa mapema, jamaa hua linakuga na machale utafikiri starling wa kihindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…